Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,459
- 872,114
- Thread starter
- #21
FaizaFoxy ukituliaga unakuwaga vizuri kweli, lakini kuna kipindi lol...!!!Naam, njia moja ya kuelimishana ni kufundishana wala tusi-site-site kwa kidogo tunachokijuwa kuwapa na wengine.
Ukitowa kimoja kwa nia safi unaongezewa kumi na Mwenyeezi Mungu bila kujijuwa.
Last edited by a moderator: