Kuchapiwa sio kitu cha ajabu tena.

Umeongea kwa msiaitizo mkubwa sana ndugu yangu. Na hii point ni muhimu sana
 
Sex is so overrated.
Sex is more than pleasure it’s the kind of intimacy that can make you forget the world for a while.

When the chemistry is right, every touch feels different, every moment feels deeper.

Embrace the connection, lose yourself in the feeling, and enjoy one of life’s most intoxicating pleasures.
 
Exactly sex is spiritual.

What I meant we take it as something to hold onto especially if our partner cheats!!

If someone cheats it's their choice and there's nothing we can do about it
 
Kama jogoo lisivyochagua wala kudhani jike linamilikiwa na dume fulani..
Umenikumbusha kipindi hicho nafuga kuku, nilikua na majogoo 4 na yote yanapanda sasa ikifika zamu ya kupanda tetea yanakaa akishakamatwa tetea mmoja kulikua na jogoo moja mbabe kuliko wote yule aliempanda akiona anasuasua anamtoa anakwea yeye anatia kitu then kinachofuata hapo anakwea wa pili nae anaweka kitu ndani akimaliza wa pili anakwea wa tatu nae anaweka kitu ndani akimaliza wa tatu anakwea wa nne nae anatia kitu ndani yaan tetea mmoja anakua amechapwa na majogoo wanne ndani ya dakika mbili akitoka hapo anajikung'uta anakua mpole na majogoo yale yalikua hayana wivu najua unajua majogoo yana wivu vibaya sana linapokuja suala la tetea kwenyee kupanda mwenye nguvu mpishe la sivyo utapigwa tu mpaka uchakae ila yale majogoo yalikua yanapanda matetea kwa ushirikiano mkubwa sana yaan kila tetea akipandwa basi yote yanampanda tetea huyo huyo namaanisha majogoo yote manne yanamtomba tetea mmoja akianzisha tu jogoo mmoja basi meengine yatahakikisha na yenyewe yanaunga akimaliza mmoja anapanda mwingine kabla tetea hajainuka yeye kashapanda anaweka kitu akimaliza tu kabla tetea hajainuka anakwea mwingine chap anaweka kitu mpaka wote wanne wanamaliza, oya yale majogoo yalikua yanatomba sio kidogo bila wivu hata kidogo
 
Binadamu tu kifanya hivyo inaitwa ukatili wa kijinsia.. πŸ˜‚ Ila mechanism ya kupanda kwa kuku ni sekunde tu... Hakuna mipashano wala misuguano...
 
'Haya maneno walinena wazee wa zamani ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani'.
Rich mavoko
Kuna mistari kwenye wimbo wa mwanaFA 'bado nipo nipo' imenifanya niwe 50/50 kwenye mahusiano.
 
'Haya maneno walinena wazee wa zamani ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani'.
Rich mavoko
Kuna mistari kwenye wimbo wa mwanaFA 'bado nipo nipo' imenifanya niwe 50/50 kwenye mahusiano.
Hawa kukosea kabisa wazeeπŸ˜‚ ni kwasababu nao walizichapa za nje.. Na ilikuwa wanaongea ndani yanaisha
 
Binadamu tu kifanya hivyo inaitwa ukatili wa kijinsia.. πŸ˜‚ Ila mechanism ya kupanda kwa kuku ni sekunde tu... Hakuna mipashano wala misuguano...
Haichukui muda wowote ila zile kurupushani za kukitafuta kitobo ndio zinapeleka muda mbele kwa sio suala la sekunde ni zaidi ya sekunde kuna kurupushani pale tetea halitaki kuliwa na jogoo linataka kula kwa hio jogoo anaanza kukisaka kitobo kile ili aweke ulimbo ndani tukiwa tunatumia stop watch nadhani inaweza ikachukua si chini ya dakika 1 na sekunde mpaka jogoo kukipata kitobo ili aipitishe ndani, kwa binadamu inawezekana km mmekubariana na hio ni fantasy tu sio issue nyingine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…