Kuchapiwa sio kitu cha ajabu tena.

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
12,663
Reaction score
25,097
Je, mbona watu wakichapiwa wake zao wanawafanya mbaya wanaume wenzao?

Mbona sisi binadamu tumejipa uspesho sana tofauti na wanyama?

Kama jogoo lisivyochagua wala kudhani jike linamilikiwa na dume fulani.. Mbona mimi nikimchapa mke wa mtu yeye aje kunilalamikia mimi?

Inamaana hajui kuwa jike nalo limeridhia kupandwa? Hebu tuacheni mambo ya kuji milikisha bwana.

Mke wako akichepuka jua ameshakuchoka, jiongeze na mezea maumivu kwa ndani. Tafuta na wewe jike jingine uruke nalo.

Ndo maana kuna migogoro kila kukicha na doa hazidumu maana watu mnachokana na hamkubaliani, wewe uliyechoka weka wazi, na wewe uliyechokwa kubali tu.

Tusifanye eti sex na wanawake za watu kama kitu cha kustaajabisha. Hata wanyama wanafanya vizuri tu.

Sex is so overrated.
 

Imeandikwa Ishi nao kwa kutumia Akili
 
Hizo boobs ziko mwake sana😋
Sasa kama huyu nigongeweee nawazaa mengi sana hasa namna alivyokuwa anabeduliwa beduliwa na tuna experience tunapokula mizigo ya watu huwa tunaikamiaaa kinomaaa sasa hapo imekuwa wa kwako lazima rohoo ichome
Your browser is not able to display this video.
 
Hii ni mindset nzuri sana kuishi nayo lakini si kwa mtu aliyeoa na amejenga family na mwanamke/mwanaume.
Kitendo cha kufunga ndoa kiimani au kisheria tayari ni official privatization ya uhusiono ulioingia na huyo spouse wako.

Mimi kwasasa naishi na mindset ya kutochukulia sex kama jambo personal na kwakwel i never entertain attachments at all, naona (kwangu bnafsi) ilivyo na salama zaidi kihisia. Nakuchapa nakulipa tusijuane.
Japo hii ni pia ina risk, mfano exposure to infections na ule uwezo wa ku bond kimahusiano unazidi kufa with time. Na end of the time kwakua binadamu ni social being na was created to interact with others ,madhara yake utakuja kuyaona kadiri umri unavyokwenda maana hutabaki kijana milele kuna time tu utahitaji mtu wa ku stick naye for eternity
 
Facts..
 
Sehemu kubwa inayowauma ni huduma anayotoa ila kama hutoi huduma na unamind basi wewe kichwa maji.
 
Inachoma kweli mkuu, ila utafanyaje sasa.
Kuchapiwa hakuepukiki
Usijue, ila ukijua lazima kinuke.. Maana moto unaopelekwa kwa mpenzi wa mtu huwa kama hakuna keshoo.. unaipachuaa hadi motoo yani una mvuruga na kuivurugaa hizo imagine 🤣🤣🤣 alafu hayo mambo wewe hufanyiwii.. Wanawake wengine wanapigwa nje kuna fantasy ndani ya ndoa huzipati
 
mambo ni manne tu

1. Uligongewa
2. Unagongewa
3. Utagongewa
4. Umegongewa
 

Attachments

  • IMG_6877.jpeg
    37.1 KB · Views: 1
Mke ni zaidi ya Sex,

Mke ni sehemu ya Familia, Kumtongoza mke wangu ni kuamua kusambaratisha kwa makusudi Familia Yangu maana inajulikana hukumu ya mke msaliti ni kuachwa.

Sasa baada ya kuachwa, wa kwanza kuteseka ni Watoto wangu wazuri, mara walelewe kwa bibi mara dada wa kambo n.k

Kama familia yangu ilivo sambaratika, Bdivyo na wewe ulie kua chanzo ndivyo utakavyo sambaratika. Ili ujifunze kutoendekeza Genye kwenye mashimo ya wanaume wenzio
 
Wanasema kupashana viporo, ila huwa kuna kujituma balaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…