Kuchangia maafa ya mafuriko-voda vat ya nini?

Kuchangia maafa ya mafuriko-voda vat ya nini?

Mfamaji

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2007
Posts
6,629
Reaction score
1,951
Wakuu naomba kueleweshwa hapa. Voda wameanzisha huu utaribu wa kuchangia maafa kwa kutumia sms. Nina imani kuwa fedha hizo zitawafikia walengwa kupunguza makali ya maisha wanayoipata kutokana na janga hilo. Ila nimekwazika na kitu kimoja . Hizo sh. 250 zina VAT. Swali , Je hiyo VAT ya nini ? Yaani tuchangie maafa na serikali ikate kodi humo humo wakati ndio tunaisadia? Haiingii kichwani . Hebu fafanueni jamani . May be I am completely off the road .
 
Back
Top Bottom