habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
Kwa taarifa yako si badilishi gia angani hadi hapo itakapotokea dhoruba, kwa sasa niache niendeleee kukusanya hivi vi dola nifanye yangu
Lakini ulisema una bonge la upweke.Kwa taarifa yako si badilishi gia angani hadi hapo itakapotokea dhoruba, kwa sasa niache niendeleee kukusanya hivi vi dola nifanye yangu
haujaambiwa ubadili gia yeye katoa tu mawazo yake, halafu hizo tamaa za hizo dollar ndo tatizoKwa taarifa yako si badilishi gia angani hadi hapo itakapotokea dhoruba, kwa sasa niache niendeleee kukusanya hivi vi dola nifanye yangu
Ulisema utaniondolewa upweke sikukuona ukakimbia, nimeamua nipige pesa tu,Lakini ulisema una bonge la upweke.
ningeshangaa kama ningekuta comment tofauti na hiiHizi porojo zisizo na mpango wala vielelezo.
Tunaona watu ambao hawaja"changanya rangi" wakiachana kila siku.
Vipi Kingunge na mama'ke Kinje wna miaka mingapi kwenye ndoa?
Vipi Ali Hassan Mwinyi na Bi Khadija, wana miaka mingapi kwenye ndoa? Huyu Bi Khadija ni Mmanga pure.
tafta lingine kwa hili umeangukia pua.
Hivi hiyo shule ulienda kusomea ujinga?
Ni lini utaacha kuwa mpuuzi wewe lakini? Hivi Umesoma ukaelewa au ulirukia tu kujibu utumbo baada ya kuona ID yangu?? Hivi hukuona nilipoandika 'ndoa nyingi' maana yake si Zote!!! Kweli upuuzi hauna tibaHizi porojo zisizo na mpango wala vielelezo.
Tunaona watu ambao hawaja"changanya rangi" wakiachana kila siku.
Vipi Kingunge na mama'ke Kinje wana miaka mingapi kwenye ndoa?
Vipi Ali Hassan Mwinyi na Bi Khadija, wana miaka mingapi kwenye ndoa? Huyu Bi Khadija ni Mmanga pure.
Tafuta lingine kwa hili umeangukia pua.
Hivi hiyo shule ulienda kusomea ujinga?
Huu mjadala uko kila mahali inashangaza mno kuona watu wanaona Kama ni kitu kipya na cha uongo, hili hata kibailogia,kijamii nknk lina mijadala mikaliAha, basi hili jukwaa linawahusu wachaga tu, ngoja sisi wakurya tujitoe tu sasa maana hakuna namna!!!
Alafu huyu dada FaizaFoxy atakua ni mchaga maana hiyo comment yake mh!!!!
Ukasema nisubiri hadi 2016. Nami nimekuwa mvumilivu hadi 2016.Ulisema utaniondolewa upweke sikukuona ukakimbia, nimeamua nipige pesa tu,
Basi endelea kunisubir nipigie hela za mwisho mwisho kwa mtoto wa malikia, tukajenge kwenu tuishi, sawa baba mwajuma ndala ndefuUkasema nisubiri hadi 2016. Nami nimekuwa mvumilivu hadi 2016.
Basi endelea kunisubir nipigie hela za mwisho mwisho kwa mtoto wa malikia, tukajenge kwenu tuishi, sawa baba mwajuma ndala ndefu