RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,719
- 136,508
Sawa lakini si kwa kusema 'nicknames' za jf ndio walivyo au wanavyofikiria kwasababu hata mimi sifikiri wewe ni mshirikina kwasababu ya kuongoza kwa kuleta posts za kishirikina jf.Hakuna nilipolazimisha mtu akubaliane na mawazo yangu, HAKUNA!!! lakini ni haki yangu kujibu, tena kujibu kulingana na like mtu alichoandika! Kwahiyo RRONDO unataka niweke post hapa halafu mtu ai challenge kisha nikae kimya??? Si kila mtu anaweza kukubaliana na mimi na kila post lazima kuwe na upande unaopinga, lakini huyo mtu anapinga kwa kutumia lugha gani???