Kuchanganya rangi: Ndoa zake hazidumu

Kuchanganya rangi: Ndoa zake hazidumu

Mshana naomba umsamehe bure huyu kiumbe,inaonekana ana frustration
Ndg mlaleo c lzm uchangie,unaweza ukapita tu km jambo unaona linakukera au linakugusa,maisha ndivyo yalivyo,chukulia poa mkuu lkn ndg mshana alichokisema kina ukweli ndani yk
 
Hii ni Zaidi ya Jokes huyo kalala na kuamka kaja kupost mimi sikasiriki ila jamaa ni Muongo na huo ndio Mchango wangu... kaukweli amehesabu amejulia wapi idadi kamili hadi aaminishe watu hii issue inagusa moja kwa moja hisia za watu na wengine wanaweza ogopa kushare maisha ya Ndoa na watu wa Color tofauti.... Miaka ya kitambo ilikuwa ni Shida ila sikuhizi ndio kama fasheni sasa Jamaa anadanganya wazi wazi siwezi acha mimi kuna watu nawafahamu hadi leo hii maisha ya ndoa hawajatengana na watu naowajua wenye same color waliotengana ni wengi zaidi... akiwemo Gadner na Jide naweza muwekea mifano halisi na yeye atoe mifano halisi na hii ni kumuonesha kuwa ni muongo.. ila asikasirike yeye nina muweka sawa angetanguliza kuwa hii ni jokes hapo sawa....
 
Wewe hujafanya reseach yoyote and then unakuja danganya.... Nisiingie JF ya babako hii...! ukiongopa tunakupa za uso...
Sasa unakuja na conclusion ya uongo nikikwambia thibitisha utaweza? JF sio ya babaangu ila nimekupa ⚠ ya kukupunguzia stress, Kama kitu hujui vema ukakaa kimya
 
Rafiki msamehe bure kutokana na maelezo yake inaelekea katendwa na wa kwao, tehe tehe tehe nalog off kwi kwi kwi
Wala Usijali rafiki nina uzoefu wa watu Kama hawa, huja moto sana na Mwishoni huishia kusikojulikana
 
Nakubaliana na wewe kwenye hili. Utamaduni na desturi ni muhimu sana kwa ndoa yenye mafanikio. Pata picha mwanamke mchaga mchakarikaji, anaeota akiifukuzia pesa anaolewa na mwanaume mzaramo. Mwanaume wa watu hana makuu kama JK tu, ni kucheka na kupita na bakuli. Ndoa haiwezi kuwa na amani.

Makabila ya kaskazini kwa tz (arusha na kilimanjaro) wanawake hawakandanizwi kivilee. Na wanapewa nafasi walau kwenye vikao vya familia, sasa mwanamke huyo akaolewe musoma. Watamkata maskio tu.

Cultural differences ni issue kubwa tu, na haimaanishi mpaka wa nchi tu bali hata ndani ya nchi inaweza kuwa shida.
 
Ameshaambiwa ahamishe thread jukwaa la jokes.

Bye
Hii ni Zaidi ya Jokes huyo kalala na kuamka kaja kupost mimi sikasiriki ila jamaa ni Muongo na huo ndio Mchango wangu... kaukweli amehesabu amejulia wapi idadi kamili hadi aaminishe watu hii issue inagusa moja kwa moja hisia za watu na wengine wanaweza ogopa kushare maisha ya Ndoa na watu wa Color tofauti.... Miaka ya kitambo ilikuwa ni Shida ila sikuhizi ndio kama fasheni sasa Jamaa anadanganya wazi wazi siwezi acha mimi kuna watu nawafahamu hadi leo hii maisha ya ndoa hawajatengana na watu naowajua wenye same color waliotengana ni wengi zaidi... akiwemo Gadner na Jide naweza muwekea mifano halisi na yeye atoe mifano halisi na hii ni kumuonesha kuwa ni muongo.. ila asikasirike yeye nina muweka sawa angetanguliza kuwa hii ni jokes hapo sawa....
Kuna wakati huwa ni Kichekesho kikubwa watu wanapolazimisha kupinga kitu kwa maneno meengi yasiyo na maana yoyote, badala ya kuwa na mpambano wa hoja, nyie mnakuwa na hoja ya mpambano
Kuna wakati nilisema kuwa perception creates reality.... Ukijiita mlaleo hata kuwaza kwako kunakuwa na limitations za Leo .....na ukijiita housegirl utawaza kama housegirl
Waachieni mods ndio wataamua iwe post ya jukwaa la jokes or whatever
 
Last edited:
Hadi wawili hao wamefikia uamuzi wa kuoana ina maana hawajui hizo 'challenges'?? Kwasababu ndoa hamuamui tu baada ya kukutana siku mbili tatu. Ningependa kusikia maoni ya housegirl
Vema ukasoma kwa kituo nilichoandika. Changamoto nyingi za ndoa dosari na tofauti huonekana mkishatulia kwenye ndoa, nitakupa mifano michache
-wazaramo na ngoma hata Kama mwanamke hataki lakini mila na desturi hazikwepeki
-familia nyingi za kiafrika kuwa na extended family, ndoa nyingi zimevunjika kwa ajili ya hili
-matambiko - kuna koo na makabila kufanya matambiko kila mwaka au kila wakati ni lazima, unaingia kwenye ndoa na watu wa jinsi hiyo wakati kwenu matambiko ni taboo kubwa

NB: Sizungumzii tabia na hulka za mtu mmoja mmoja ndio maana nikatumia kitaifa na kimataifa
<<nimetumia ndoa NYINGI na sijasema ndoa ZOTE
 
Mshana naomba umsamehe bure huyu kiumbe,inaonekana ana frustration
Ndg mlaleo c lzm uchangie,unaweza ukapita tu km jambo unaona linakukera au linakugusa,maisha ndivyo yalivyo,chukulia poa mkuu lkn ndg mshana alichokisema kina ukweli ndani yk
Mweupe tu hii mada imemuuma sana kuna siri kubwa nyuma yake angalia avatar yake
 
Kuna wakati huwa ni Kichekesho kikubwa watu wanapolazimisha kupinga kitu kwa maneno meengi yasiyo na maana yoyote, badala ya kuwa na mpambano wa hoja, nyie mnakuwa na hoja ya mpambano
Kuna wakati nilisema kuwa perception creates reality.... Ukijiita mlaleo hata kuwaza kwako kunakuwa na limitations za Leo .....na ukijiita housegirl utawaza kama housegirl
Waachieni mods ndio wataamua iwe post ya jukwaa la jokes or whatever
Housegirl anawazaje mkuu?
 
Vema ukasoma kwa kituo nilichoandika. Changamoto nyingi za ndoa dosari na tofauti huonekana mkishatulia kwenye ndoa, nitakupa mifano michache
-wazaramo na ngoma hata Kama mwanamke hataki lakini mila na desturi hazikwepeki
-familia nyingi za kiafrika kuwa na extended family, ndoa nyingi zimevunjika kwa ajili ya hili
-matambiko - kuna koo na makabila kufanya matambiko kila mwaka au kila wakati ni lazima, unaingia kwenye ndoa na watu wa jinsi hiyo wakati kwenu matambiko ni taboo kubwa

NB: Sizungumzii tabia na hulka za mtu mmoja mmoja ndio maana nikatumia kitaifa na kimataifa
<<nimetumia ndoa NYINGI na sijasema ndoa ZOTE

Kuwa makini na unachoandika. Im out.
 
Ndege wafananao daima huruka pamoja....ni vigumu sana kuishi na mtu mliotafautiana mitazamo mingi ya msingi hasa hasa ya kimila na desturi....hata mimi nimewahi kushuhudia mara nyingi ndoa za hivyo zikivunjika.....
 
Kuna wakati huwa ni Kichekesho kikubwa watu wanapolazimisha kupinga kitu kwa maneno meengi yasiyo na maana yoyote, badala ya kuwa na mpambano wa hoja, nyie mnakuwa na hoja ya mpambano
Kuna wakati nilisema kuwa perception creates reality.... Ukijiita mlaleo hata kuwaza kwako kunakuwa na limitations za Leo .....na ukijiita housegirl
Vema ukasoma kwa kituo nilichoandika. Changamoto nyingi za ndoa dosari na tofauti huonekana mkishatulia kwenye ndoa, nitakupa mifano michache
-wazaramo na ngoma hata Kama mwanamke hataki lakini mila na desturi hazikwepeki
-familia nyingi za kiafrika kuwa na extended family, ndoa nyingi zimevunjika kwa ajili ya hili
-matambiko - kuna koo na makabila kufanya matambiko kila mwaka au kila wakati ni lazima, unaingia kwenye ndoa na watu wa jinsi hiyo wakati kwenu matambiko ni taboo kubwa

NB: Sizungumzii tabia na hulka za mtu mmoja mmoja ndio maana nikatumia kitaifa na kimataifa
<<nimetumia ndoa NYINGI na sijasema ndoa ZOTE
Mweupe tu hii mada imemuuma sana kuna siri kubwa nyuma yake angalia avatar yake

utawaza kama housegirl
Waachieni mods ndio wataamua iwe post ya jukwaa la jokes or whatever

unapenda watu wakubaliane na mawazo yako, kila mtu ana mawazo yake....je wewe unavyotuletea habari za washirikina humu na wewe ni mshirikina??
 
teh! kuna watu wanapita kimya wanaisoma tu
 
unapenda watu wakubaliane na mawazo yako, kila mtu ana mawazo yake....je wewe unavyotuletea habari za washirikina humu na wewe ni mshirikina??
Hakuna nilipolazimisha mtu akubaliane na mawazo yangu, HAKUNA!!! lakini ni haki yangu kujibu, tena kujibu kulingana na like mtu alichoandika! Kwahiyo RRONDO unataka niweke post hapa halafu mtu ai challenge kisha nikae kimya??? Si kila mtu anaweza kukubaliana na mimi na kila post lazima kuwe na upande unaopinga, lakini huyo mtu anapinga kwa kutumia lugha gani???
 
Last edited:
kuna ukweli hapo, nawajua watu kadhaa walioshabikia ndoa au kuzaa na weupe ughaibuni, lkn mwisho wao ni kutalikiana.
 
Back
Top Bottom