Kuchaguliwa cozi ambayo hukuomba

Kuchaguliwa cozi ambayo hukuomba

At Calvary

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
4,568
Reaction score
3,644
Habari zenu wadau wa elimu,
Moja kwa moja kwenye mada

Ni hivi kuna dogo aliomba ardhi kozi ya civil engineering, lakini majibu yametoka wamemchagua kozi ya environment engineering ambayo haikuwepo kwenye machaguo yake, afu pia sio interest yake yeye alikuwa anapenda akasome civil engineering,

Mimi nimewaambia au mshauri kwamba kuna vitu viwili either awambie chuo husika waondoe jina lake kwenye selection zao then aombe upya au aende na hiyo hiyo coz ya environment engineering chuoni then akifika abadilishe kwenda civil engineering,

Sasa mimi nilikuwa naomba mnisaidie kwa niaba yake ili nimwambie kipi ni bora zaidi. Na kama kuna njia nzuri zaidi itakuwa vema.

Natanguliza Shukran zangu kwenu natumai nitajibiwa vyema, Akhsanteni.

At Calvary. Singida
 
Kwanza kabisa haiwezekani kuchaguliwa kozi ambayo haikuwa miongoni mwa machaguo yako. Amechaguliwa kwa sababu aliiweka miongoni mwa machaguo yake.

USHAURI: Akubali kozi aliyochaguliwa, akishafika chuo atapata wasaa wa kubadilisha kwenda Civil Engineering.
 
Sio rahisi kama unavyodhani. Unaweza ukafika chuo ukaambiwa civil nafasi hakuna.

Kama uliappy civil chuo kingine nenda kaisome hiyo. Otherwise nenda ardhi kabla chuo hakijafunguliwa ukaulize nini kimetokea.
 
Habari zenu wadau wa elimu,
Moja kwa moja kwenye mada

Ni hivi kuna dogo aliomba ardhi kozi ya civil engineering, lakini majibu yametoka wamemchagua kozi ya environment engineering ambayo haikuwepo kwenye machaguo yake, afu pia sio interest yake yeye alikuwa anapenda akasome civil engineering,

Mimi nimewaambia au mshauri kwamba kuna vitu viwili either awambie chuo husika waondoe jina lake kwenye selection zao then aombe upya au aende na hiyo hiyo coz ya environment engineering chuoni then akifika abadilishe kwenda civil engineering,

Sasa mimi nilikuwa naomba mnisaidie kwa niaba yake ili nimwambie kipi ni bora zaidi. Na kama kuna njia nzuri zaidi itakuwa vema.

Natanguliza Shukran zangu kwenu natumai nitajibiwa vyema, Akhsanteni.

At Calvary. Singida
Hawa madogo wa sikuizi vichwa vyao vinaenda mbio na usikute mlikuwa mnamforce asome civil engineering wakati yeye anataka environmental engineering na ndio kilichotokea hapo any way urahis hapo ni kwenda kubadilisha tu akifika chuo maana kuna grace period inatolewaga kakujitafakari kama iyo kozi unaiweza au huiwezi kubadilisha kunaingiamo humo
 
Kwanza kabisa haiwezekani kuchaguliwa kozi ambayo haikuwa miongoni mwa machaguo yako. Amechaguliwa kwa sababu aliiweka miongoni mwa machaguo yake.

USHAURI: Akubali kozi aliyochaguliwa, akishafika chuo atapata wasaa wa kubadilisha kwenda Civil Engineering.
Usiseme tu haiwezekan mzee me nilichaguliwa b of arts in mathematics pale makumira na skuomba hiyo kozi nilisomag hge, so inatokea

Ushauri
Me niliwatapika nikaenda chuo kingin nilichaguliw vyuo viwili, ila kama dogo ndo icho icho kachaguliw kubafil kozi ni ngum inasumbua sana
 
Hapana yeye aliweka chaguo moja tu
 
Hawa madogo wa sikuizi vichwa vyao vinaenda mbio na usikute mlikuwa mnamforce asome civil engineering wakati yeye anataka environmental engineering na ndio kilichotokea hapo any way urahis hapo ni kwenda kubadilisha tu akifika chuo maana kuna grace period inatolewaga kakujitafakari kama iyo kozi unaiweza au huiwezi kubadilisha kunaingiamo humo
Hapana hakufosiwa yeye ndio anataka huo civil engineering
 
Kubadili Sio ngumu asee
Usiseme tu haiwezekan mzee me nilichaguliwa b of arts in mathematics pale makumira na skuomba hiyo kozi nilisomag hge, so inatokea

Ushauri
Me niliwatapika nikaenda chuo kingin nilichaguliw vyuo viwili, ila kama dogo ndo icho icho kachaguliw kubafil kozi ni ngum inasumbua sana
 
Usiseme tu haiwezekan mzee me nilichaguliwa b of arts in mathematics pale makumira na skuomba hiyo kozi nilisomag hge, so inatokea

Ushauri
Me niliwatapika nikaenda chuo kingin nilichaguliw vyuo viwili, ila kama dogo ndo icho icho kachaguliw kubafil kozi ni ngum inasumbua sana
Wonderful!
 
usitudanganye acha uongo hebu dogo hakuna course inayoitwa bachelor of ARTS in mathematics
 
Uko sahh nimekosea
Ni B of education in mathematics
Usiseme mtu kadanganya sina sababu ya kudangany, ili nipate nn
 
aende chuo husika af achek uezekano wa kubadili course akiona course anayotaka hain nafas bac afanye INTRACELLULAR TRANSFER yaan ahamie chuo kingine kabisa.. mie nilifanya ivo and the end nilifanikiwa
I was from UDSM to DIT
 
Hapa kuna mambo mawili infact kuchaguliwa kwenye koz ambayo hukupenda na haikuwa kwenye machaguz yako ni ngumu especially kwa Govt Institutions kama mnakumbuka sijui ni mwaka juzi Ndalichako aliwawashia moto Mwenge University....

Jambo la kwanza huyu dogo kama kachaguliwa iyo koz haitaki na haikuwa kwenye machaguz yake muda mwingine huwa ni ngumu sana kwenda kubadili maana either hakuwa kwenye minimum requirements maana kila kozi ina cutoff points zake so hata akienda aseme anasubiria grace period atakua anajisumbua bure..so apa aamgalie chuo kingine maana ardhi wanachukuaga wanafunzi wachache mnoo kwa most of courses.

Jambo la pili hapa anaweza akawai chuoni ata akiweza aende leo akawaambie nini kimetokea mbona yametokea yaliyo tokea?...maana inawezekana pia kuna tumakosa tudogo tumetokea kwenye Selection.

Mind you asichelewe kufatilia maana sijui kama bado dirisha la usahili liko waz kama liko waz atapata muda wa kuomba sehem nyingine na akiweza aombe tena apo apo na asisubiri grace period maana ile huwa haitabiriki nakumbuka hii mwaka juz ilileta shida sana Pale Mzumbe especially kwa valuable courses..
Habari zenu wadau wa elimu,
Moja kwa moja kwenye mada

Ni hivi kuna dogo aliomba ardhi kozi ya civil engineering, lakini majibu yametoka wamemchagua kozi ya environment engineering ambayo haikuwepo kwenye machaguo yake, afu pia sio interest yake yeye alikuwa anapenda akasome civil engineering,

Mimi nimewaambia au mshauri kwamba kuna vitu viwili either awambie chuo husika waondoe jina lake kwenye selection zao then aombe upya au aende na hiyo hiyo coz ya environment engineering chuoni then akifika abadilishe kwenda civil engineering,

Sasa mimi nilikuwa naomba mnisaidie kwa niaba yake ili nimwambie kipi ni bora zaidi. Na kama kuna njia nzuri zaidi itakuwa vema.

Natanguliza Shukran zangu kwenu natumai nitajibiwa vyema, Akhsanteni.

At Calvary. Singida
 
Alafu huu nao ni uzembe uliopitiliza yani mpaka anafikia atua ya kuomba chuo alikua anawaza kitu icho icho tu...alitakiwa awe na Alts za kutosha atlist mbili atmost tatu....Sipati picha apo hali yake ipoje atakua anastres sana kukosa chuo sio poa kabisa acheni tu na siku hizi wanafunzi wanafaulu sana... mwishowe ataishia kusoma kitu ambacho kwanza hakipendi na Mda mwingine kitamfanya aishie njiani...

Dogo ilo ni zembe sana awezi akawa ana option moja...kasheshe zimesha anza apo si unaona
Hapana hakufosiwa yeye ndio anataka huo civil engineering
 
Uko sahh nimekosea
Ni B of education in mathematics
Usiseme mtu kadanganya sina sababu ya kudangany, ili nipate nn
sawa lakini unaweza kuitwa mdanganyifu kwa kusema umesoma hiyo course na umeshindwa kuistate correctly..huwezi kusoma kitu hicho na ukashindwa kukitolea ufafanuzi hasa kama umesoma kozi hizo za science huwezi kuwa na wazo la kupachikia neno "ARTS"
 
Sikwenda, nili confirm Saut
B of arts in economics
 
Back
Top Bottom