mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,250
- 14,005
Sawa kwa vile umeweka wazi hobby yako hapo sawa sina maneno.bro labda nimalize mjadala kwann nmependa kusoma IS/IT?
DIPLOMA nimesoma mechanical DIT, Ila computer nilikuwa naielewa tangu mwanzo nasoma mecha, so baada ya kumaliza nimeona stage ya bachelor ndo mda sahihi wa kusoma nnachokipenda.. mazingira ya kusoma unachokipenda ukiwa unataka kusoma diploma ni magumu kutambua maana kuna ugumu kujua kiundani kuhusu tech za idara fulani coz ya kuwa new comer from school ila degree ni rahisi maana unakuwa unajua mbivu na mbichi kupitia experience ya diploma...
yeah nishaconfirm kwao ila nimeconfirm physically na sio online so wamepeleka majina tcu yakirudi ndo ntakuwa moja kwa moja naruhusiwa kuanza utaratibu wa malipo na kusomavizuri mkuu so cha private tayari ushaconfirm huko or napo bado
yeah hata mimi mecha imenisaidia na inanisaidia sana but now naona ni mda sahihi wa kusoma hobi yangu.Sawa kwa vile umeweka wazi hobby yako hapo sawa sina maneno.
Maana fani ya mechanical kuna baadhi ya watu hawaipendi ila ndio fani rahisi kutoboa kuliko zote.
Hata mimi ndio nilisomea hiyo mechanical yaani imenisaidia sana.
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Sawa sio mbaya pia hapo unakuwa na fani nyingi muda wowote unageuka geuka kulingana na sokoyeah hata mimi mecha imenisaidia na inanisaidia sana but now naona ni mda sahihi wa kusoma hobi yangu.
sijasema IT haina soko hiyo nilitoa mfano kutokana na comment yako ya kusema mtu asome kitu kinachoufurahisha moyo wake
Ni kweli wasomi wa IT wamezagaa sana mitaani na ajira zake ni chache sana.hata ivyo IT soko la ajili ni dogo sana..
wana cofirm baadhi ya. vyuo ila si vyotei think so but am not sure ila kama unajua vyuo umechaguliwa zaid ya kimoja nenda kweny acc yako ya kila chuo then uchek kama unatakiwa kuconfirm au la? mana mimi nilituiwa hadi sms kwa simu yangu kwamba lazima niconfirm chuo kimoja kati ya nilivyochaguliwa
Thus why nimemjibu'' I THINK SO BUT AM NOT SURE''wana cofirm baadhi ya. vyuo ila si vyote
Uki applyukichagua au ukichaguliwa embu weka swali lako vema?
Uki apply unaweza kukosa, ila ukipata single selection haina haja ya ku confirmUki apply