Kuchafuka

Kuchafuka

yuleeee

Member
Joined
May 25, 2013
Posts
57
Reaction score
11
Habari Mabibi na Mabwana. Mu hali gani?

Naomba nilete uzi huu kwenu. Jamani sijui nina matatizo gani...nikitembea umbali kidogo najikuta miguu imechafuka vumbi, viatu usiseme, suruali duuuh. Jamani nifanyeje hali hii! Nataka kuwa smart. Hata nikinyata vp vumbi haliniachi. Help please. Si mzaha..!
 
nilijua mtu anakuchafua na anakwambia ulambe koni harafu umeze na maziwa
 
haya makubwa, maumbile yako na mazoea tokea upo mdogo ni kuburuta miguu, sasa sisi tukupe ushauri gani? kama unajiweza nunua kausafiri
 
Habari Mabibi na Mabwana. Mu hali gani?

Naomba nilete uzi huu kwenu. Jamani sijui nina matatizo gani...nikitembea umbali kidogo najikuta miguu imechafuka vumbi, viatu usiseme, suruali duuuh. Jamani nifanyeje hali hii! Nataka kuwa smart. Hata nikinyata vp vumbi haliniachi. Help please. Si mzaha..!
Tambua kuwa usmart una gharama zake. Nunua gari, kama uwezo kiduchu nunua hata bajaji tu.
 
Hapo dawa yake gari tu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom