Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,283
- 108,295
Mi naona atembee akiruka ruka........
Hahaha hapo si ndio atachafuka zaidi Dr.! Au kama vipi atafute zile suites za Astonauts...
Mi naona atembee akiruka ruka........
kwani? Wewe boy? Au binti? Mimi naona kama unatafuta mene mla mavi hivii!!!!!!habari mabibi na mabwana. Mu hali gani?
Naomba nilete uzi huu kwenu. Jamani sijui nina matatizo gani...nikitembea umbali kidogo najikuta miguu imechafuka vumbi, viatu usiseme, suruali duuuh. Jamani nifanyeje hali hii! Nataka kuwa smart. Hata nikinyata vp vumbi haliniachi. Help please. Si mzaha..!
mkuu kumbe unamkumbuka huyu
hapo umenena na kuna maeneo mengine hata pa kupaki hakuna hadi NYINYIEM au kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa.Na ahame uswazi. Manake kuna sehemu una gari na unapaki km 1 from home.
Usipite kwenye vumbi...nunua kipando!
Fanya moja ya yafuatayo..Habari Mabibi na Mabwana. Mu hali gani?
Naomba nilete uzi huu kwenu. Jamani sijui nina matatizo gani...nikitembea umbali kidogo najikuta miguu imechafuka vumbi, viatu usiseme, suruali duuuh. Jamani nifanyeje hali hii! Nataka kuwa smart. Hata nikinyata vp vumbi haliniachi. Help please. Si mzaha..!
Yule anaedaka misamiati ya huku sijui yukoapi aongezee na hili la "kipandio"inaweza kuendelea kuboresha ndoa yake
inanipa tabu kidogo kuamini mtu na akili zako unaandika thread kama hii kuomba ushauri.
Au mkuu ulikua unataka kumalizia bundle yako ya mb50? Usije ukaona inaenda bure na muda umeisha.
Habari Mabibi na Mabwana. Mu hali gani?
Naomba nilete uzi huu kwenu. Jamani sijui nina matatizo gani...nikitembea umbali kidogo najikuta miguu imechafuka vumbi, viatu usiseme, suruali duuuh. Jamani nifanyeje hali hii! Nataka kuwa smart. Hata nikinyata vp vumbi haliniachi. Help please. Si mzaha..!
Mkuu mimi nimesema "kutawanya", sasa kama wewe "unapanua" shauri yako!!