Pneumonia - limonia, amonia
Theatre - fyeta
Operation - kapigwa plesheni
Genuine - jiniani
Scrape (metal) - selekepa
Malairia - maralia
Kitchen party - chikenipati
Stowaway - stolowei
Bloody Fool. . .Blaliful, Blariful. . Kinyumbani zaidi.
Hahahaha!!! Lizzy hajachukua share kubwa kweli baada kusaini isije akawa kachukua 50% baada ya kusaini..lolDah, mmenichekesha sana.
@The Finest, uje usaini mkataba wa ku-revise ile slogan mlotunga na Lizzy, yeye kishasaini mkataba umebaki wewe.
Where hav you been?
Tukutane barabara ya morogoro road.
Bloody Fool. . .Blaliful, Blariful. . Kinyumbani zaidi.
Kisha nimekumbuka huwa anasema "kapata kisidenti kwenye mtukari yake"
Kisidenti = a small accident
!!!!
Dah, mmenichekesha sana.
@The Finest, uje usaini mkataba wa ku-revise ile slogan mlotunga na Lizzy, yeye kishasaini mkataba umebaki wewe.
Where hav you been?
Tukutane barabara ya morogoro road.
Nyie hapo juu....:lol:Barabara ya Morogoro road, mtaa wa "The Finest street"
Canta hii nimeishaisikia sana mtaani...lolHospitali----Sipitali
Doctor---Dakta,mganga
Promotion----Poromoshen
Screen---sikirin
Haahahahhah!Canta hii nimeishaisikia sana mtaani...lol
Nipo swahiba uje British Council leo...Haahahahhah!
Yani km bibi yetu tumefundisha mpaka tumechoka yeye na sikirini na sipitali tu!
Salama lkn umepotea sana swaiba!!!!
Poa nitakuja,Nipo swahiba uje British Council leo...
Nafanyakazi lile jenngo la NSSF Building
Ha ha ha haah! Kumbe hii ndio maana yake, nakumbuka babu alikuwa anatuambia hivyo tukimkera enzi za utoto!