laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,732
makampuni ya kubet yalianzia ulaya kwa wazungu hao tunaowasujudia kila siku teh teh teh mimi kwa siku naingiza zaidi ya 30,000 kwa kubet, kama ni hasara hakuna biashara isiyokuaa hasara....mpaka mabenki yanapata hasara mfano crdb pamoja nak na wasomi na PHD zao.....wazee wa Mikekaaaaaaa. Ninyi Msitafute Kazi Endeleeni Kutandaza Mikeka.
Mtakuwa watumwa wa wenye Nacho, ni hatari sana kwa Taifa kuwa na Wategemea Kamari na sio wachapa kazi.
Ni mjinga tu atakae sema heti Mkeka ni Ujasiria Mali!
Hivi mjasiria mali uwekeza maali ambapo anajua kupata ni Bahati na sibu?
Ujinga Mtupu.
Ningekuwa Rais hata kwa dakika 1 ningekamata wote wacheza Mikeka niwacharaze Bakora na Kuwatupa JKT kwa Mwaka 1 wakafundishwe Satadi za kazi.