Watoto wameshalala ni kampeni ya kuchocheo mmomonyoko wa maadili

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,412
WAONGOZAJI MADANGURO ambao pia wana dhaminiwa na watu wa upinde wa mvua kwa maksudi kuharibu kizazi cha TANGANYIKA wanalipiwa bando na posho kila usiku huku wakiwa kila mtu na akaunti zisizopungua 10 na kila moja ipo active, hawa WATOTO WAMELALA wanaposti picha za wanawake ama wakiwa uchi ama nusu uchi lakini picha yenye kuamsha nyege na kuwafanya wanaume wawe addicted na dopamine zao kushukuka na kuingia kwenye ushoga, kupiga punyeto maana wanaangalia piacha za kutamanisha na pia kuharibu kizazi.

Ulevi, Uvutaji Sigara, Shisha, ponograph, Punyeto imekuwa kitu cha kawaida kwenye kaya zetu.
Hakuna anayeona kama ni tatizo na wachache wana ona kama tataizo hawawezi hata ku-comment kwakuwa ni status zao kwenye jamii zitashuka ama wanaogopa kutukanwa, watu wa kaniba, vyeo, wakubwa na wadogo wote wanaangalia hii mitandao yenye maudhui ya WATOTO WAMELALA huku watazamaji wengi watoto huku ikiwapelekea kujichua na kuingia kwenye ngono hatarishi wakiwa watoto

Vaping imewatengenezea watu wa mataifa ya ASIA kwa fedha nyingi wakiwadanganya unapasa andasi na starehe lakini ni kemikali ambayo imechanganywa huko kushusha homoni za vijana /hata wababa/kwa ujumla wanaume ili wasiwaze ngono ya kawaida ila wawe mashoga na wasio simamisha., miaka ya sasa hivi kumkuta 14 years young man ni mlevi kupindukia imekuwa fashion ,no one is worried about the next 10 mpaka miaka 20 ijayo !

ila ukweli ni kwamba kama hauko on your best in life na unataman kuwa sikumoja na bado uko na mojawapo ya addiction hizo au nyingine ambazo kwa ujumla zinashusha dopamine you have to ask yourself if your serious enough about your life.

Mafanikio yoyote wether ni trading au any other carrier yanahitaji sacrifice ,discipline, consistency as an individual na huwez kufanya hvo ukiwa under addiction we all know that .

Tuwapinge hawa WATOTO WAMELALA, tu-riport tweet zao na mitandao yote na si wenzetu, wametumwa kuharibu kizazi.

WATOTO WAMELALA wapo hata humu, wana sponsa , wana nguvu, wana bando na muda wa kumshambulia mtu na kumjia inbox kumtisha, mliokuja inbox endeleeni kunitisha, inafahamika kila mmoja ana akaunti zaidi ya 10, anapost picha moja ya mwanamke alafu anaanza kujijibu kwa kuweka picha za wanaweke wakiwa uchi, kwa akakunti 10 tofauti, PARODY, tunajua na tunawapiga vita .
 
Duh dunia inaenda kasi, huwa wanaposti humu JF ? Bila shaka mods watashughulika nao
 
WAONGOZAJI MADANGURO ambao pia wana dhaminiwa na watu wa upinde wa mvua kwa maksudi kuharibu kizazi cha TANGANYIKA wanalipiwa bando na posho kila usiku huku wakiwa kila mtu na akaunti zisizopungua 10 na kila moja ipo active, hawa WATOTO WAMELALA wanaposti picha za wanawake ama wakiwa uchi ama nusu uchi lakini picha yenye kuamsha nyege na kuwafanya wanaume wawe addicted na dopamine zao kushukuka na kuingia kwenye ushoga, kupiga punyeto maana wanaangalia piacha za kutamanisha na pia kuharibu kizazi.

Ulevi, Uvutaji Sigara, Shisha, Vapers ponograph, Punyeto imekuwa kitu cha kawaida kabisa kwenye jamii ya leo.
No one is even seing them as dangerous as they are as the matter of fact ponography peke yake iko at its highest peak interms of viewers(watoto wamelala.

Vaping imewatengenezea wachina pesa nyingi lying kwamba ni flavors while their just cheap packed chemicals to lower your dopaminemiaka ya sasa hivi kumkuta 17 years young man ni mlevi kupindukia imekuwa fashion ,no one is worried about the next 20 years!! ofcoz Globalization.

ila ukweli ni kwamba kama hauko on your best in life na unataman kuwa sikumoja na bado uko na mojawapo ya addction hizo au zingne ambazo generally will lower your dopamine you have to ask yourself if your serious enough about your life.

Mafanikio yoyotenh wether ni trading au any other carrier yanahitaji sacrifise ,discipline,consistency as an individual na huwez kufanya hvo ukiwa under addiction we all know that .

Tuwapinge hawa WATOTO WAMELALA, turiport tweet zao na mitandao yote na si wenzetu, wametumwa kuharibu kizazi
Kwa kweli tunakoenda sio kabisa

Sent from my SM-A305N using JamiiForums mobile app
 
watoto wenyewe ndio kama hao?
View attachment 2628383
Kwa akili ya kawaida kama ulisoma mpaka darasa la 3 , hiyo picha ina uwiano wowote? Na kama ipo, huyo mtoto anaelewa hata akiona uchi wa mzazi wake? ana hisia? Hebu tuwalee wajukuu na watoto wetu, tunaharibu sisi wenyewe kwa upiuzi wetu then tunasingizia wazungu.
 
Haelewi anadadisi.
 
Back
Top Bottom