Dunia yakoo
Senior Member
- Nov 23, 2019
- 139
- 214
Anashindwa nini kuwataja sasa basi yeye ni wakala na ataondoka tu.Mbowe akimgusa Kubenea patachimbika, Kubenea atawataja wote waliohusika kumpiga risasi Tundu Lisu na kumpoteza Ben Saanane,.
Jaribuni kumuondoa muone cha motoAnashindwa nini kuwataja sasa basi yeye ni wakala na ataondoka tu.
Sikusema ataondolewa nimesema ataondokaJaribuni kumuondoa muone cha moto
Sikusema ataondolewa nimesema ataondoka
Mbowe hana haja ya kumfanya chochote!
Atakutana na sanduku kama lilivyomkuta Mzee Sumaye!
Mbowe a relax tu!
Uzuri wa Chadema sanduku linaongea mamaeeeeee!
Yanini kumfukuza wakati sanduku litamtoa hapo alipo na atakua nobody with no cheo anywhere?
Wait and see!
Ni dalili za ulaghai tu.Mbowe akimgusa Kubenea patachimbika, Kubenea atawataja wote waliohusika kumpiga risasi Tundu Lisu na kumpoteza Ben Saanane,.
Sanduku linaongea vipi! Kuwa mkweli
Mmemfanyia hujuma Mzee sumaye, now it seems you will pay it
Vijana wa Mbowe wametoka kinondoni wameweka kambi kibaha for the aim kummaliza sumaye kisiasa
Wamefanya uhuni hotelin Mzee hajui kinachoendelea! Is this fair?
Mafiosoo Mbowe his time is over, Cecilia mwamba is our best candidate
Tutamtoa tu ofisni hatutaogopa wale vijana wake wa kinondoni,
Trust me huu Uchaguzi tutazipiga for the sake of democracy and end up dictatorship in Chadema
Cecilia mwamba is going to make upset down
This time your finished
Ujinga mtupuJaribuni kumuondoa muone cha moto
Mbowe akimgusa Kubenea patachimbika, Kubenea atawataja wote waliohusika kumpiga risasi Tundu Lisu na kumpoteza Ben Saanane,.