Ogah,
..
hakuna anayekataza mwandishi kumchunguza mwanasiasa na huko kugundua scandals zilizojificha na kuzianika. Lakini sio sahihi kusema umemkuta Ogah anaiba kuku, huku unajua kabisa hujamwona Ogah popote hata akiiba kitumbua.
Mtanzania said:....................Kumbe ndio maana watu wengine mnamwagiwa tindikali shauri ya kuandika majungu ambayo hayana ukweli hata mdogo. Ni taaluma gani hizo za kutumiwa na wanasiasa kuandika kila wanalotapika?
Ogah,
Nimetumia jina langu ili kila mtu awe una uhakika 100% kwamba alieandika ni Mwakalinga mwenyewe..
.
Ogah,
Ni rahisi sana ukiwa pembeni kuandika kama ulivyoandika. Lakini kwa mtu ambaye sasa miezi minne anatolewa kwenye magazeti ya nchi kwamba ni fisadi, kibaraka wa mtu, katuma vijana kuchoma mtu kisu, kamwagiwa mapesa na ujinga mwingine ambao hauna hata chembe ndogo ya ukweli. Hata watu ambao hawakujui wanaanza kuamini kwamba wewe ni mwizi. Inafika sehemu unasema enough is enough, siasa za jino kwa jino nazo zinafanywa na binadamu. Fuata sheria na maadili ya kazi yako, hakuna atakayekugusa. Ni maadili gani ya uandishi wa habari hao tunaowajadili hapa wanafuata?
Mkuu nimejifunza, Nipashe waliandika mambo ya hovyo hivyo hivyo. Msamalia mmoja wa JF hapa akaniunganisha na mhariri wao na nikaamua kuwa muungwana. Nikampigia simu kumwambia habari mliyoandika haina ukweli kabisa, chunguzeni. Kesho yake ndio akatoa makubwa zaidi kwamba kuna sms zimekutwa zikionyeshwa pesa zinavyosambazwa kutoka nje kupitia Arusha. Huku akijua ni uongo mkubwa wala hakuna kitu kama hicho. Unataka mtu kama huyo nimwambie nini tena zaidi ya lugha anayostahili? Kuna siku nitamwona uso kwa uso na nimwambie lugha anayostahili.

Uzuri wote wanaotumia magazeti yao kuchafua watu wengine wanajulikana. Na kila baya mtu analofanya kuna siku utawajibika nalo tu.
Hakuna anayekataza mwandishi kumchunguza mwanasiasa na huko kugundua scandals zilizojificha na kuzianika. Lakini sio sahihi kusema umemkuta Ogah anaiba kuku, huku unajua kabisa hujamwona Ogah popote hata akiiba kitumbua.
- Saafi sana na Bravo Mkulu, angalau hii sasa inapunguza unwanted attention na kuanza ku-deal na the real things uso kwa uso, na again ninashukuru sana kwamba umechukua time kuweka sawa ishus nyingi zinapotakiwa. Na nyongeza kidogo tu ni kwamba ukiwa bongo, kuna mtu hapa alileta habari nyingi ambazo hazikuwa na ukweli kama nilivyokuwa nikiwasiliana na wewe kila siku ya Mungu na mimi na Wakulu Invisible, Steve D, na Sikonge tukajitahidi sana kujaribu kuziweka habari zinapotakiwa, mpaka ulipopata nafasi ya kurudi tukakuachia mwenyewe.
- Katika hii article nimeshitushwa sana na habari ya Mwakipesile kugombea, na pia habari nyingi ndani yake ambazo siamini kwamba zina ukweli ndani yake, unless Ndugu yangu Kubenea aje hapa aweke sawa, otherwise inaweza kumshushia sana heshima na taifa na hasa hapa JF, ambapo ni muhimu zaidi kwake na shughuli zake za uandishi. Kwa hiyo kwa mara nyingine tena ninamuomba Kubenea aje aweke sawa ukweli wa habari katika article yake!
- Kuhusu huu uchaguzi wa Kyela, kwakweli inatia moyo sana kuona wagombea makini mkijitokeza tena bila uoga, niliwahi kuambiwa kwamba kuna wengine wengi watajitokeza karibuni, I mean wakati tunaendelea kusubiri, bado tunazidi kuchambua facts ili kufikia mahali pa kuamua nani anafaa over wengine, ingawa sio siri kwamba huu utakuwa uchaguzi wa the ages!
Again Mkulu Mwakalinga, thanks for coming as you are believe imepunguza makelele mengi sana yasiyo na umuhimu, aliyekupa huu ushauri ni lazima umshikilie sana maana anajua vitu vingi sana huyo! Tanzania tuna lack sana mapolitical strategists kama huyo uliyenaye!
Respect.
FMEs!
Sasa huko nyuma ulivyokuwa unabwata kwamba George Mwakalinga sio Mtanzania, ulituona sisi wapumbavu? Hatuko hapa kutafuta nani ni nani, but it was tempting to show that relationship, kwa jinsi ulivyoji-expose mwenyewe.
Baada ya ubabaishaji wote huo, unaamini kwamba wewe unaweza kuwa kiongozi wa kuaminiwa? Utakuwa sawa na akina Nchimbi tu.
FMES na wengine mliopo kambi ya Mwakalinga;mbona sijaona sehemu kwenye article zenu mkimkemea Mwakalinga kwa kushabikia uhalifu hasa alipomnanga Kubenea kuwa"ilikuwa sahihi kwa kumwagiwa tindikali?"
Mwakalinga,kuwa kiongozi wa watu inatakiwa uwe mvumilivu mno na umeanza kuonyesha politics-immaturity kwa kuonekana kama uko upande kwa watu waliovunja sheria kwa kummwagia acids Kubenea
Nasubiri tamko toka kwenu akina FMES na Mwakalinga mwenyewe kama bado msimamo wenu ni ule ule kushabikia na kuwaunga mkono wale waliommwagia tindikali mwandishi Kubenea!
Bytheway,kama ukifanikiwa kuupata ubunge usije kuwa kama hawa wabunge wote wa Kyela waliotangulia,maana sisi wenyeji wa kijiji cha Ibungu mmetusahau sana kwenye kutujengea ka-daraja ka kuunganisha na kijiji cha Ndandalo hasa kipindi cha masika,huchukua masaa zaidi ya 5 kutoka pale kijijini hadi kufika kwenye uchochoro Mwaikambo.
Tunaomba usitusahau!
FMES na wengine mliopo kambi ya Mwakalinga;mbona sijaona sehemu kwenye article zenu mkimkemea Mwakalinga kwa kushabikia uhalifu hasa alipomnanga Kubenea kuwa"ilikuwa sahihi kwa kumwagiwa tindikali?"
Mwakalinga,kuwa kiongozi wa watu inatakiwa uwe mvumilivu mno na umeanza kuonyesha politics-immaturity kwa kuonekana kama uko upande kwa watu waliovunja sheria kwa kummwagia acids Kubenea
Nasubiri tamko toka kwenu akina FMES na Mwakalinga mwenyewe kama bado msimamo wenu ni ule ule kushabikia na kuwaunga mkono wale waliommwagia tindikali mwandishi Kubenea!
Bytheway,kama ukifanikiwa kuupata ubunge usije kuwa kama hawa wabunge wote wa Kyela waliotangulia,maana sisi wenyeji wa kijiji cha Ibungu mmetusahau sana kwenye kutujengea ka-daraja ka kuunganisha na kijiji cha Ndandalo hasa kipindi cha masika,huchukua masaa zaidi ya 5 kutoka pale kijijini hadi kufika kwenye uchochoro Mwaikambo.
Tunaomba usitusahau!
Ogah,
Ni rahisi sana ukiwa pembeni kuandika kama ulivyoandika. Lakini kwa mtu ambaye sasa miezi minne anatolewa kwenye magazeti ya nchi kwamba ni fisadi, kibaraka wa mtu, katuma vijana kuchoma mtu kisu, kamwagiwa mapesa na ujinga mwingine ambao hauna hata chembe ndogo ya ukweli. Hata watu ambao hawakujui wanaanza kuamini kwamba wewe ni mwizi. Inafika sehemu unasema enough is enough, siasa za jino kwa jino nazo zinafanywa na binadamu. Fuata sheria na maadili ya kazi yako, hakuna atakayekugusa. Ni maadili gani ya uandishi wa habari hao tunaowajadili hapa wanafuata?
Mkuu nimejifunza, Nipashe waliandika mambo ya hovyo hivyo hivyo. Msamalia mmoja wa JF hapa akaniunganisha na mhariri wao na nikaamua kuwa muungwana. Nikampigia simu kumwambia habari mliyoandika haina ukweli kabisa, chunguzeni. Kesho yake ndio akatoa makubwa zaidi kwamba kuna sms zimekutwa zikionyeshwa pesa zinavyosambazwa kutoka nje kupitia Arusha. Huku akijua ni uongo mkubwa wala hakuna kitu kama hicho. Unataka mtu kama huyo nimwambie nini tena zaidi ya lugha anayostahili? Kuna siku nitamwona uso kwa uso na nimwambie lugha anayostahili.
Nimetumia jina langu ili kila mtu awe una uhakika 100% kwamba alieandika ni Mwakalinga mwenyewe..
Uzuri wote wanaotumia magazeti yao kuchafua watu wengine wanajulikana. Na kila baya mtu analofanya kuna siku utawajibika nalo tu.
Hakuna anayekataza mwandishi kumchunguza mwanasiasa na huko kugundua scandals zilizojificha na kuzianika. Lakini sio sahihi kusema umemkuta Ogah anaiba kuku, huku unajua kabisa hujamwona Ogah popote hata akiiba kitumbua.
........Mwakalinga,kuwa kiongozi wa watu inatakiwa uwe mvumilivu mno na umeanza kuonyesha politics-immaturity kwa kuonekana kama uko upande kwa watu waliovunja sheria kwa kummwagia acids Kubenea......
.Si ndio hapo sasa?
Yaani jamaa kaigeuza JF kama kigenge cha wachovu.
.
Nilijua tu kuwa jitu kama hili litajitokeza hapa na majungu yake.
Mwaafrika domo ni jumba la maneno na endelea tu kubwata.Mara ujiite masanilo,mara Mwaafrika, mara Mwakyembe na mara em em.Ujinga.

.- Saafi sana na Bravo Mkulu, angalau hii sasa inapunguza unwanted attention na kuanza ku-deal na the real things uso kwa uso, na again ninashukuru sana kwamba umechukua time kuweka sawa ishus nyingi zinapotakiwa. Na nyongeza kidogo tu ni kwamba ukiwa bongo, kuna mtu hapa alileta habari nyingi ambazo hazikuwa na ukweli kama nilivyokuwa nikiwasiliana na wewe kila siku ya Mungu na mimi na Wakulu Invisible, Steve D, na Sikonge tukajitahidi sana kujaribu kuziweka habari zinapotakiwa, mpaka ulipopata nafasi ya kurudi tukakuachia mwenyewe.
- Katika hii article nimeshitushwa sana na habari ya Mwakipesile kugombea, na pia habari nyingi ndani yake ambazo siamini kwamba zina ukweli ndani yake, unless Ndugu yangu Kubenea aje hapa aweke sawa, otherwise inaweza kumshushia sana heshima na taifa na hasa hapa JF, ambapo ni muhimu zaidi kwake na shughuli zake za uandishi. Kwa hiyo kwa mara nyingine tena ninamuomba Kubenea aje aweke sawa ukweli wa habari katika article yake!
- Kuhusu huu uchaguzi wa Kyela, kwakweli inatia moyo sana kuona wagombea makini mkijitokeza tena bila uoga, niliwahi kuambiwa kwamba kuna wengine wengi watajitokeza karibuni, I mean wakati tunaendelea kusubiri, bado tunazidi kuchambua facts ili kufikia mahali pa kuamua nani anafaa over wengine, ingawa sio siri kwamba huu utakuwa uchaguzi wa the ages!
Again Mkulu Mwakalinga, thanks for coming as you are believe imepunguza makelele mengi sana yasiyo na umuhimu, aliyekupa huu ushauri ni lazima umshikilie sana maana anajua vitu vingi sana huyo! Tanzania tuna lack sana mapolitical strategists kama huyo uliyenaye!
Respect.
FMEs!
.
Fmes,
Kubenea hawawezi kujitokeza kujibu alichoandika.Atajibu nini na taarifa hizi za majungu?.
Hapa tunaanza kukosa imani kuwa kumbe ata hawa mafisadi wanasingiziwa tu.
Kwa kusisitiza zaidi anasema alichoandika kuhusu kyela ni uchunguzi wa muda mrefu.
Tumwamini vipi mtu huyu na gazeti lake?
Mbona na wewe unabwatabwata sasa,tukuite nani,jinga ama???.Hizo ni dalili za kuishiwa hoja Samwel,kama vp ni bora ukae kimya tu aisee
.
Fmes,
Kubenea hawawezi kujitokeza kujibu alichoandika.Atajibu nini na taarifa hizi za majungu?.
Hapa tunaanza kukosa imani kuwa kumbe ata hawa mafisadi wanasingiziwa tu.
Kwa kusisitiza zaidi anasema alichoandika kuhusu kyela ni uchunguzi wa muda mrefu.
Tumwamini vipi mtu huyu na gazeti lake?
FMES na wengine mliopo kambi ya Mwakalinga;mbona sijaona sehemu kwenye article zenu mkimkemea Mwakalinga kwa kushabikia uhalifu hasa alipomnanga Kubenea kuwa"ilikuwa sahihi kwa kumwagiwa tindikali?"
Mwakalinga,kuwa kiongozi wa watu inatakiwa uwe mvumilivu mno na umeanza kuonyesha politics-immaturity kwa kuonekana kama uko upande kwa watu waliovunja sheria kwa kummwagia acids Kubenea
Nasubiri tamko toka kwenu akina FMES na Mwakalinga mwenyewe kama bado msimamo wenu ni ule ule kushabikia na kuwaunga mkono wale waliommwagia tindikali mwandishi Kubenea!
Bytheway,kama ukifanikiwa kuupata ubunge usije kuwa kama hawa wabunge wote wa Kyela waliotangulia,maana sisi wenyeji wa kijiji cha Ibungu mmetusahau sana kwenye kutujengea ka-daraja ka kuunganisha na kijiji cha Ndandalo hasa kipindi cha masika,huchukua masaa zaidi ya 5 kutoka pale kijijini hadi kufika kwenye uchochoro Mwaikambo.
Tunaomba usitusahau!
Mkuu FMES,- - Katika hii article nimeshitushwa sana na habari ya Mwakipesile kugombea, na pia habari nyingi ndani yake ambazo siamini kwamba zina ukweli ndani yake, unless Ndugu yangu Kubenea aje hapa aweke sawa, otherwise inaweza kumshushia sana heshima na taifa na hasa hapa JF, ambapo ni muhimu zaidi kwake na shughuli zake za uandishi. Kwa hiyo kwa mara nyingine tena ninamuomba Kubenea aje aweke sawa ukweli wa habari katika article yake!
FMEs!
Balantanda.Mbona unaanza kumhukumu Kubenea kabla hujausikiliza utetezi wake mkuu??,kama FMES alivyoshauri ni vema Kubenea(kama ataweza) aje humu jamvini na kuweka mambo sawa(kama alivyofanya kwa ile ishu ya Zitto)...Ilipotoka ishu ya mama yake Zitto,Zitto alikuja humu na kuanza kumtuhumu Kubenea(kama alivyofanya Mtanzania) lakini mara alipokuja Kubenea hapa na kueleza nini kilichojiri ndipo watu walianza kupima ukweli ni upi na uongo ni upi..Kubenea please popote ulipo njoo hapa uweke mambo haya sawa