Sead Kubenea amuombe radhi Makonda baada ya Mh Ridhiwan kukanusha habari na kutoa picha kwamba Makonda alimfunga kamba Ridhiwan ili apewe ukuu wa wilaya.
Ni jambo la kusikitisha kiongozi uliyechaguliwa na wananchi unatoa habari za uongo ili kufurahisha nafsi yako na kumchafua kiongozi mwenzio sababu eti mmepishana katika siasa.
nia aibu sana jirekebishe umeishakuwa ni kiongozi unaewakilisha wananchi katika jimbo
wananchi watashindwa kukuamini badilika Mheshimiwa.
Sijaelewa, kwa hiyo ile picha ilitengenezwa ina maana sio ya kweli??!
Kinachokanushwa ni picha au kuvalishwa viatu?
aombe radhi kwa lp? kubeba abebe yeye na huku atakwe radhi duh we nae.... umeshiba punje za taiwan
Mkuu mbona unajidanganya!Inavyoonekana ile picha Makonda hayuko pale. Caption iliainisha kuwa Makonda akifunga kamba za viatu za...... Ukweli ni kuwa yule hakuwa MAKONDA sasa hapo ni ngoma nzito kwa mwandishi na gazeti lakini siyo KUBENEA as a person ila unless ndiye mwandishi au mhariri.
Sead Kubenea amuombe radhi Makonda baada ya Mh Ridhiwan kukanusha habari na kutoa picha kwamba Makonda alimfunga kamba Ridhiwan ili apewe ukuu wa wilaya.
Ni jambo la kusikitisha kiongozi uliyechaguliwa na wananchi unatoa habari za uongo ili kufurahisha nafsi yako na kumchafua kiongozi mwenzio sababu eti mmepishana katika siasa.
nia aibu sana jirekebishe umeishakuwa ni kiongozi unaewakilisha wananchi katika jimbo
wananchi watashindwa kukuamini badilika Mheshimiwa.
makonda ndio nani? ana nini cha kuombwa msamaha, kwangu mimi ninayeishi moshi au mwanza, makonda ananihusu nini hata kumsikia tu masikioni naona nimepoteza muda bora ningesikiliza hata muziki wa hiphop tu. zaidi ya yote, kulingana na historia ya maisha yake tangu aingine kwenye siasa, ningekuwa magufuli makonda angekuwa mtu wa kwanza kufuta kwenye ulimwengu wa siasa, nisimsikie kabisa. ni moja wapo wa watu ambao hata kamanilikuwa naangalia tv wakitokea nabadilisha channel haraka kwasababu sioni kama anastahili kuwepo pale alipo. hasa nikikumbuka kilichotokea siku ile kwa warioba, na uamfia wa aina hiyo alioufanya. pili, makonda mkuu wa wilaya na mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa tz hivi nani anastahili heshima?
kiukweli kuna viongozi wengine tumewachagua lakini sasahivi tunajuta...ubungo tulichemsha na kila mtu analijua hilo...

Unaona aibu gani kujiita dodoma vijijini ?
Sead Kubenea amuombe radhi Makonda baada ya Mh Ridhiwan kukanusha habari na kutoa picha kwamba Makonda alimfunga kamba Ridhiwan ili apewe ukuu wa wilaya.
Ni jambo la kusikitisha kiongozi uliyechaguliwa na wananchi unatoa habari za uongo ili kufurahisha nafsi yako na kumchafua kiongozi mwenzio sababu eti mmepishana katika siasa.
nia aibu sana jirekebishe umeishakuwa ni kiongozi unaewakilisha wananchi katika jimbo
wananchi watashindwa kukuamini badilika Mheshimiwa.
makonda hana tofauti na watoto wa mtaani chokoraa aliyeokota pochi ya mzungu,yule hata kijiji hana sifa ya kukiongoza sembuse wilaya,nchi hi haiwezi kuwa na maendeleo kwa akili za mtoa mada mlamba makamasi ya makonda na makonda mfunga viatu vya rizwani
Makonda ndiye aliyekuwa anamfunga nyuzi za viatu Bw.Ridhwan, mimi nina video kabisa! Inaonyesha yote haya!
kiukweli kuna viongozi wengine tumewachagua lakini sasahivi tunajuta...ubungo tulichemsha na kila mtu analijua hilo...
Tena mapema kabisa aombe radhi