Kubenea kumvaa Dr. Slaa

Kubenea kumvaa Dr. Slaa

Safi sana kubenea huyo Babu hapaswi kuchekewa.
Mwanaume ukishikwa akili na mwanamke ni tatizo sana.
 
Safi sana Kubenea, nasubiri tamko lako kwa hamu sana.
Huyu babu keshajivua heshima yake hakuna haja ya kumheshimu tena.
 
Saeed Kubenea tunakuamini na tunaamini tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu. huyu dokta slaa inabidi ajibiwe hoja zake kila anapoziwasilisha kwani safari hii amedhamiria kututoa nje ya reli kwa ahadi ambazo anadai ati hanunuliki. Sisi pia tutamsikiliza na kumjibu humu jamvini yeye na wenzake wote wanaojaribu kuwa mazuzu wakati huu muhimu kwetu.
NIMEMSIKILIZA kwa makini, Dk. Willibroad Slaa, aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema na mgombea urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Akihojiwa na kituo cha televisheni cha Star TV, Dk. Slaa alimtuhumu Edward Lowassa kuwa ni fisadi na akataka wananchi kumchagua “mgombea mwenye nafuu ya ufisadi.” Akamtaja John Pombe Magufuli.

Ameeleza pia kuwa taarifa mpya aliyonayo na ambayo aliitumia katika mkutano wake na waandishi wa habari Jumanne iliyopita, kuhusu sakata la Richmond, aliipata kutoka kwa Dk. Harrison Mwakyembe, aliyekuwa mwenyekiti wa kamati Teule ya Bunge, juu ya Richmond.

Niliamua kutojibizana na Dk. Slaa – rafiki yangu wa miaka mingi – katika mradi wake huu. Lakini kwa hapa alipofika, uvumivu umenishinda. Sitaruhusu mtu mzima, anayejiita padri na ambaye alitaka kuwa rais wetu, kuendelea kulindanganya taifa na kuwapotosha wananchi.

Hivyo basi, nimeamua kuanzia leo hii, kukabiliana na Dk. Slaa kwa kila kona ili ukweli ufahamike. Kwa kuanzia, leo hii – Jumamosi, naelekea mkoani Mbeya ambako nitahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara katika jimbo la Kyera, linaloshikiliwa na Mwakyembe, swahiba mpya wa Dk. Slaa.

Nikiwa Mbeya nitaeleza ukweli wa kilichotokea na kile ambacho Dk. Slaa anakificha.

Aidha, nikirejea Dar es Salaam, nimepanga kuitisha mkutano na waandishi wa habari, kueleza ukweli uliokamilika kuhusu Dk. Slaa na mkewe Josephine Mushumbuzi na sababu
 
Safi sana Kubenea,nashangaa mnamwacha huyu Padri anayebadiri wanawake kuendelea kutudaganya.
 
Kubenea kabadili fani, kutoka uandishi mpaka kwenye siasa!! Anapiga mkwara kwa mzee aliemkabidhi list of shames.!!
 
Kubenea huyu huyu aliyekuwa anamponda Lowassa kisha anafunga kamba za viatu vyake, anataka amponde Dr Slaa. Hivi siye Kubenea aliyeunguzwa na Tindikali?

Tutasikia mengi kwa kweli mwaka huu.

Kweli siasa ya Tanzania ni za kutafutia shibe matumbo kwani Kubenea ni moja ya mwanahabari niliyemwamini sana kipindi hicho akichambua habari ya Richmond,Dowans na ufisadi enzi zile lakini kwa sasa si yule niliyemfahamu kwa sasa nae anasaka ulaji hivo ni lazima atatetea kule anakokula kwa sasa. Pia nafikiri kwa sasa makala zake zitakuwa zinaegemea upande anaoamini na si katika weledi wa uandishi na hivo kuharibu maana ya uandishi.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Kubenea kabadili fani, kutoka uandishi mpaka kwenye siasa!! Anapiga mkwara kwa mzee aliemkabidhi list of shames.!!

Kubenea chanachana hilo jizee lililokosa hekma.
 
Unashangaa kubenea kwa lowassa!!!! Mbona humshangai slaa dr. Cassava aliyekuwa akiiponda ccm na jk leo hii anaiona ccm na jk ndo'watakatifu wanaoishi tanzanai!!????
 
Kubenea yule Mwandishi Kanjanja? hivi kipindi hicho mwanahalisi kuna toleo lilikuwa linatoka bila habari ya ufisadi wa Lowassa
 
  • Thanks
Reactions: nao
Huyu naye Bruce Jenner tu anayetafuta kiki kupitia Slaa.

Hawamjibu mama zake itakuwa yeye kifaranga tena mwenye mdondo.

Yetu akili,macho na masikio.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Uvccm mtabaaana mwisho mtaachia af ndo mtajua kua tulikua na nia ya kuitaka ikulu
 
Tar 31 May 1981 Mehmet Ali Agca Kijana wa Uturuki,alimpiga risasi Papa John Paul wa 2,alimpiga risasi nne na kwa uweza wa Mungu Papa hakufa,alipopona alitamka kuwa amemsamehe,akamtembelea gerezan na akahakikisha anakua huru.
Lakini Papa alivyokuja Tanzania aliagiza S. laa afukuzwe ukatibu wa pale kanisani,HAKUMSAMEHE!ALIMWAJIBISHA!
Je S.laa ni mbaya kuliko Mehmet Ali Agca aliyefanya ugaidi na kukaribia kumuua Papa??Hebu tutafakari
 
Back
Top Bottom