MawazoMatatu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2008
- 505
- 61
Mkulu GT,unaanza kuwa kama Mrema (TLP).Nahisi kama umefilisika hivi kwenye mambo ya Dataz.
TETESI: Inasemekana ktk lile linalosemekana kama "Mafisadi kujibu mapigo ya mashambulizi ya internet" wameamua kuanza kununua majina ya wachangiaji wanaoaminika na kuweka watu wao ili kuwakatisha tamaa wanamapambano wengine na pengine kutukia influence yao janvini kuwabadili mitazamo wachangiaji wengine