Kubenea kashindwa kumzungumzia Rostam mbele ya Waandishi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kubenea kashindwa kumzungumzia Rostam mbele ya Waandishi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, May 11, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  KUBENEA NAYE NI FISADI?

  Suedi Kubenea ambaye anatokea kijiji cha BALENI kule kisiwani Mafia na ambaye ni mwenye gazeti lilkilo mstari wa mbele kupiga vita UFISADI amefanya kitendo ambacho kimetustua na kutunyongonyesha sisi wapiga vita ufisadi .


  KUBENEA ambaye kwa sababu anazozijua yeye aliamua kufanya PRESS CONFERENCE YA KUMPA masaa 24 mheshimiwa ROSTAM AZIZ aombwe radhi baada ya kumhusisha Kubenea na UFISADI lakini katika hali isiyo ya kawaida Kubenea amechomoa bila sababu za msingi.

  Taarifa zaidi toka Baleni Mafia zinasema kuwa ndugu jamaa na marafiki wamesikitishwa na kitendo cha kijana wao kutofanya hiyo press conference ambayo pamoja na mambo mengine ingemwanika ( whatever it means nowadays) mheshimiwa Rostam na kumweka wazi kwani Kubenea anazo DATAZ ambazo angemkoma "Nyani Giladi"

  Na katika duru za waandishi kuna habari kuwa inawezekana kuwa naye kesha pewa chochote kama alivyokuwa akipewa na LOWASA ndio maana katulia...na hii inawezekana ni kweli kwani alikuwa anaitukana saaanaaaa serikali ya JK na JK mwenyewe akidai ni FISADI na mengineyo na hata ule mkutano na Lowasa aliahidiwa MATANGAZO KWENYE GAZETI LA MWANAHALISI lakini alipoona kimya (baada kuambiwa kuwa avute subira) akaamua kurudi na nguvu zote kuitukana bara bara serikali ya JK kuwa ni ya kifisadi

  Mpaka alipomwagiwa tindikali baada ya gari lake kuvunjwa viooo

  Lakini mafisadi hao hao aliowaita mafisadi ndio walimlipia gharama za matibabu kwenda INDIA India hivyo we should not rule out kuwa naye amekuwa compromised kwenye hili sakata ka ufisadi kwani price ya KUBENEA ni ndogo sana...matangazo kwenye gazeti lake na hivi sitoshangaa kusikia kuwa keshavuta kwa hao hao anaowaita MAFISADI kwa kwa sababu hivyo nadhani tunaweza kusema kuwa KUBENEA NAYE NI FISADI LAKINI inawezekana fisadi huyu anakula kote kote yaani kwa MENGI na kwa ROSTAM kwani ndio kawaida yake
   
  Last edited: May 11, 2009
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Suedi Kubenea ndio nani?
   
 3. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mkulu GT,unaanza kuwa kama Mrema (TLP).Nahisi kama umefilisika hivi kwenye mambo ya Dataz.
   
 4. M

  Mwakaleli Member

  #4
  May 11, 2009
  Joined: Sep 23, 2008
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli huyu jamaa hana tofauti na Lyatonga.
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Du!! sitaki kuamini ni wewe mkuu GT ndio umeandika haya kwani stori yako haieleweki,Mtindiowaubongo kaona spelling error mimi naona disorganisation of ideas.
   
 6. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,922
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Wala sijaelewa the theme ya hii story.
   
 7. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  I said it once, kwamba mafisadi hawaishii katika material thing.. they go far hadi kufisadi brain za watu! inatisha sana ba ndugu.
   
 8. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  kaaz kwel kwel
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Madhara ya bangi bila kula ni makubwa kuliko tunavyoweza kufikiria....
   
 10. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Thanks, at least u have provided scientific explanation...mkuu tia maji kichwani kisha kunywa soda tamu Fanta I suggest mambo yatatulia.
   
 11. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,808
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Taratibu Mkuu!
   
 12. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2009
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,686
  Likes Received: 21,951
  Trophy Points: 280
  Masanilo sio Bangi hiyo mkuu, yaweza kuwa Dengerua iliyochacha. kwi kwi kwi
   
 13. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Je wewe mtoa habari tunataka ulete proof beyond doubt kuwa Saed Kubenea ni fisadi. Hatutaki hatred posts/thread!! Mkuu GT taratibu mtu wangu. Kubenea hawezi kamwe kununuliwa na FISADI. Mbona gazeti la Mwanahalisi bado linaandika na kupambana na mafisadi!!!

  Kwa nini mtu anataka amlazimishe Kubenea kutoa Press Conference ya uovu wa Rostam?? Tayari Kubenea alishatoa Press Conference kupitia magazeti yake!!! Chukua magazeti ya Mwanahalisi, chukua cuttings zote za Kubenea kuhusu ufisadi, hiyo ni press conference tosha. Mbona tayari alishaitoa,, unataka sasa aende akayarudierudie madata/manondo ambayo tayari ameshayaandika katika magazeti yake??? Hapana, mimi nafikiri Kubenea atakuwa busy kupata nondo mpya za kutujuza.

  Hata haya mafisadi papa aliyotaja mzee wetu Mengi, mbona Mwahahalisi ilishataja majina hayo siku nyingi?? Alichofanya mzee Mengi ni ku summarise tu wakuu.

  Keep it up Kubenea. Wengi tuko nawe, usife moyo. Kubenea ni mwandishi ambaye ame dare to take proffesional risk!! I like him!!!

  Mafisadi bwana, wanajua kutumia mbinu sana kupambana na wazalendo. Sasa wanataka kuua nguvu za kubenea kwa kutuma viba... wa kumponda!! Hatutaki.
   
 14. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,173
  Likes Received: 1,256
  Trophy Points: 280
  GT sasa nadhani unashindwa ama hauelewi maana ya ufisadi. Uliza wana JF wakueleimisha ili usiendelee kutuchosa na mabandiko yasiyokuwa na Msingi..
   
 15. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #15
  May 11, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,611
  Likes Received: 3,913
  Trophy Points: 280

  I don't care spelling error, I do care core point, though further clarification may be needed.

  Upande wangu personally nilishaachana nae siku nyingi, kuanzia usiri wa tindikali, kufungiwa gazeti lake, na kutomwandika JK kuwa fisadi.

  Kuna siri ndani ya tindikali mabayo siyo ya kisiasa rather is personal!

  Hakututendea haki kusababisha gazeti lake lifungiwe kwa uzembe wake

  Hili la JK nalijua vizuri na ataishia kuandika akila EL,RA, mpaka anunue magari 100 kama Shigongo!

  Mpaka leo hajajibu tuhuma kuwa Mwanahalisi lina mkono wa Mkulu(japo wanataka watuhaminishe ni la Chadema)!!! Nimemface sijamkwepesha hana jibu!

  yetu macho!
   
 16. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,281
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Hiyo timu yake (ARSENAL) inafungwa kila siku labda imemuathiri maana naona jamaa anapotea kabisa siku hizi
   
 17. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2009
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Me nothing to say!
   
 18. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Du... Nathingi kwaakweeeli!!

  Distorted information, no punctuation, unattractive!

  Mzee, ulikuwa umepiga KIROBA nini?
   
 19. H

  Hongasuta Member

  #19
  May 11, 2009
  Joined: Sep 10, 2006
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni upuuzi mtupu!
   
 20. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #20
  May 11, 2009
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  This is a waste of time. The so called "Great Thinkers" of JF who are supposed to be dedicated to the development of our nation are busy talking about Kubenea. I welcome correction but I must say. His significance to the task at hand is non-existent. (And please dnt rely to me talking about media and its influence) because if that is the case then we should be talking about the people that own the media owners...
   
Loading...