Kubenea apandishwa Mahakamani leo

Kubenea apandishwa Mahakamani leo

Muafaka wa kitaifa unatakiwa kwa haraka sana.mbegu na matunda ya chuki za kisiasa madhara yake ni zaidi ya vita vya wenyewe kwa wenyewe.nchi hii ni mali yetu sote.
 
Watu wengine wanadhani kwamba ukishakua mbunge basi upo juu ya sheria, hii ni tafsiri ya ukawa wote.

mknd wk! hv wewe kwanini kila cku unanitafutia ban kwa lazima? kwani huyo mumeo Paul Makonda yeye yupo juu ya sheria au yupo juu ya kifua cha m@m@k0?
 
Last edited by a moderator:
Muafaka wa kitaifa unatakiwa kwa haraka sana.mbegu na matunda ya chuki za kisiasa madhara yake ni zaidi ya vita vya wenyewe kwa wenyewe.nchi hii ni mali yetu sote.

Kwa tulio ndani ya UTAWALA tunaona wapinzani hususan wanaotoka kaskazini kama si watanzania.Ni mpaka pale tutakapojirekebisha na kujifunza kwamba kuwa mpinzani si uadui.Na wakutuelimisha ndiyo hao wanaochochea vurugu na kupandikiza chuki yaani wakuu wa chama na serikali.
 
Hivi magufuli bado hajapiga chini huyu mpuuzi makonda?Kumbe magufuli utendaji bado sana.
 
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea anafikishwa mahakamani Kisutu muda huu.
Huku ni kuiongezea mahakama mrundikano wa kesi zisizo na kichwa wala miguu
Kwa mtindo huu lazima Makonda ajitafakari mara mbili mbili
Kama huyo Dogo Makonda asipofungwa 'speed governor' na watu wenye mamlaka zaidi yake, hakika huyo jamaa anaweza kusababisha mtafaruku mkubwa hapa nchini.
 
Ukitukana si unaenda polisi kushtaki and then mahakamani,sasa hii ya kujichukulia sheria mikononi duh.Halafu ukisha frame wakati kulikuwa na mashahidi inaelekea miavuli ya Magufuli mingine ni mibovu ya kutupa tu

wakati wanazinguana na watu walikuwepo polisi walikuwepo waandishi walikuwepo ushahidi utaletwa na haki itatendeka, ukiwa ukawa utukane kila mtu haiwezekani akatukane bungeni mtaani utaenda segerea tu.
 
mknd wk! hv wewe kwanini kila cku unanitafutia ban kwa lazima? kwani huyo mumeo Paul Makonda yeye yupo juu ya sheria au yupo juu ya kifua cha m@m@k0?
Kweli Mkuu, huyo Stroke anakutafutia ban ya kulazimisha....................
 
wakati wanazinguana na watu walikuwepo polisi walikuwepo waandishi walikuwepo ushahidi utaletwa na haki itatendeka, ukiwa ukawa utukane kila mtu haiwezekani akatukane bungeni mtaani utaenda segerea tu.

Na tena "WANAZENGUANA"Na ushahidi ukitokea kwamba hakumtukana nani atangulie Segerea???Kama walizenguana sababu gani kutumia nguvu kubwa na madarka yasiyohitajika hapo.

Makonda hayuko juu ya sheria na asipoangalia ajue anamuharibia RAIS wake.
 
Kila kitu kinamipaka yake aliye na haki mahakama iataamua
Ili wajiwekee ufahamu wa mambo yao na fundisho kwa wengine
 
Hivi sakata hili anaefaidika nalo nani ? wanaacha kutatua mgogoro Urafiki wanaanzisha mwingine.
pimaneni ubavu lakini kitachofuata ni mnyukano ...mmoja ana vyombo vya dola na mwingine ana vichaa wa mtaa.
 
naona apo kulikua na mtafaruku kweli kwlei... Kubenea Povu limemtoka hatari!!!
 
Attachments

  • 1450168483347.jpg
    1450168483347.jpg
    28.5 KB · Views: 616
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea anafikishwa mahakamani Kisutu muda huu.
Huku ni kuiongezea mahakama mrundikano wa kesi zisizo na kichwa wala miguu
Kwa mtindo huu lazima Makonda ajitafakari mara mbili mbili
Kwani wewe hakimu?
Si kesi imepelekwa mahakamani, sasa mukampatie dhamana kesi iahirishwe, uchunguzi uendelee, Kubenea aendelee kuripoti kituoni miezi na miezi.

Somo kwenu, nyie mmshika makali, mwenzenu Makonda kashika mpini, kila mmoja avute saizi yake na atakaye umia aachie hilo panga.
 
mknd wk! hv wewe kwanini kila cku unanitafutia ban kwa lazima? kwani huyo mumeo Paul Makonda yeye yupo juu ya sheria au yupo juu ya kifua cha m@m@k0?

Mkuu una kamasi ya matusi nini Hahaha
Jamaa lzma anyweee huko alipo
 
Last edited by a moderator:
Kwani wewe hakimu?
Si kesi imepelekwa mahakamani, sasa mukampatie dhamana kesi iahirishwe, uchunguzi uendelee, Kubenea aendelee kuripoti kituoni miezi na miezi.

Somo kwenu, nyie mmshika makali, mwenzenu Makonda kashika mpini, kila mmoja avute saizi yake na atakaye umia aachie hilo panga.

Nadhani tutatenda haki kama tukijua pande zote mbili kulitokea nini?Tujiulize ni kwanini Makonda aliorder waandishi wa habari wanyang'anywe vitenea kazi vyao?Kwenye wamerekodi nini ambacho Makonda hataki tukione??Kuna mahalai nahisi Makonda amekosea na ndiyo sababu akawanyang'anya waandishi wa habari vitendea kazi vyao.

Ifike mahali tusikubali watawala wawe juu ya sheria.Tukifika huko basi hakuna haja ya kuwa na mahakama.Wakuu wa wilaya na mikoa wawe ndiyo kila kitu.

Tunajua wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa ni wasiamizi wa Chama tawala kwenye maeneo yao na si kama watendaji wa serikali.Tunahitaji watu hawa waamue kufanya kazi za serikali au za chama na kama haiwezekani waondolewe ili tusiendelee kulipa watu wachache kwa kodi zetu ilhali ni wafanyakazi wa CCM kama chama na si Serikali.
 
Makonda Kinondoni hana wa kufanya naye kazi ndiyo maana wanataka kulazimisha meya atoke kwao ni mkiwa mpeni pole kwa anayoyafanya
 
Back
Top Bottom