Ana rangi nyingi na zote zimejulikana sasa, hahofii kubadilisha maneno alimradi tu itamlipa na kumjenga, daima hupenda kuonekana yeye ndio the best na the rest ni makapi.... Usaliti na undumilakuwili hizi ndio sifa zake kuu... Haaminishi anachokisema na hasemi anachomaanishaZitto Ruyagwa Kabwe amechanganyikiwa, baada ya kusaliti mabadiliko ya kweli amekuwa mtu asiyejielewa, amekuwa kama mbwa kichaa anayemvamia mtu yeyote na kumng'ata, yeye na Dr Slaa hawana tofauti, tofauti yao ni kuwa Zitto ni kijana na hana mwanamke anayeeleweka, na Dr slaa ni mzee na ana hawara anayeeleweka.
Zitto amesema ktk tweet yake kuwa Kubenea anaumwa ugonjwa wa chuki, sasa sijui ni nani mwenye huo ugonjwa kati ya kubenea na Zitto? Zitto ni mnafiki na nyoka mwenye vichwa viwili anayegonga huku na kule, amekuwa akijipendekeza kwa serikali ya CCM kila Leo, bahati nzuri wenye akili zao wanamjua tayari kuwa Zitto ni mtu wa aina gani, Zitto ni mnafiki na anachuki kubwa kwa watanzania maana anawadanganya kuwa yeye ni mpinzani kumbe ni wakala wa CCM ktk kuua upinzani.
Wewe Zitto achana na Kubenea wewe tayari unajulikana vizuri sana, asiyekujua wewe basi ni wa kumwonea huruma sana wewe ndo una chuki ndo maana unapenda kukaa na watu wenye chuki na husda na kujipendekeza kama kina Makonda, bahati mbaya kwako na genge lako ni kuwa, serikali ya Rais Magufuli haina muda na wanafiki kama wewe.
Zitto Ruyagwa Kabwe amechanganyikiwa, baada ya kusaliti mabadiliko ya kweli amekuwa mtu asiyejielewa, amekuwa kama mbwa kichaa anayemvamia mtu yeyote na kumng'ata,.
.
Ungeweza kumshambulia Zitto bila kumwingiza Dr.Slaa.Zitto Ruyagwa Kabwe amechanganyikiwa, baada ya kusaliti mabadiliko ya kweli amekuwa mtu asiyejielewa, amekuwa kama mbwa kichaa anayemvamia mtu yeyote na kumng'ata, yeye na Dr Slaa hawana tofauti, tofauti yao ni kuwa Zitto ni kijana na hana mwanamke anayeeleweka, na Dr slaa ni mzee na ana hawara anayeeleweka.
Zitto amesema ktk tweet yake kuwa Kubenea anaumwa ugonjwa wa chuki, sasa sijui ni nani mwenye huo ugonjwa kati ya kubenea na Zitto? Zitto ni mnafiki na nyoka mwenye vichwa viwili anayegonga huku na kule, amekuwa akijipendekeza kwa serikali ya CCM kila Leo, bahati nzuri wenye akili zao wanamjua tayari kuwa Zitto ni mtu wa aina gani, Zitto ni mnafiki na anachuki kubwa kwa watanzania maana anawadanganya kuwa yeye ni mpinzani kumbe ni wakala wa CCM ktk kuua upinzani.
Wewe Zitto achana na Kubenea wewe tayari unajulikana vizuri sana, asiyekujua wewe basi ni wa kumwonea huruma sana wewe ndo una chuki ndo maana unapenda kukaa na watu wenye chuki na husda na kujipendekeza kama kina Makonda, bahati mbaya kwako na genge lako ni kuwa, serikali ya Rais Magufuli haina muda na wanafiki kama wewe.
Hata kama Zitto ana matatizo lakini inavyoonekana hakushindi wewe. Matatizo yako uliyoyaeleza hapa nyuma ya maandishi yako, yanaoesha unahitaji msaada wa haraka. Zitto mwenzio anafanya kwa ajili ya siasa wewe unafanya kwa ajili ya nini? Hebu jipange ulete issue badala ya kuzungumzia maisha ya mtu binafsi utafikiri umeachika bwanaZitto Ruyagwa Kabwe amechanganyikiwa, baada ya kusaliti mabadiliko ya kweli amekuwa mtu asiyejielewa, amekuwa kama mbwa kichaa anayemvamia mtu yeyote na kumng'ata, yeye na Dr Slaa hawana tofauti, tofauti yao ni kuwa Zitto ni kijana na hana mwanamke anayeeleweka, na Dr slaa ni mzee na ana hawara anayeeleweka.
Zitto amesema ktk tweet yake kuwa Kubenea anaumwa ugonjwa wa chuki, sasa sijui ni nani mwenye huo ugonjwa kati ya kubenea na Zitto? Zitto ni mnafiki na nyoka mwenye vichwa viwili anayegonga huku na kule, amekuwa akijipendekeza kwa serikali ya CCM kila Leo, bahati nzuri wenye akili zao wanamjua tayari kuwa Zitto ni mtu wa aina gani, Zitto ni mnafiki na anachuki kubwa kwa watanzania maana anawadanganya kuwa yeye ni mpinzani kumbe ni wakala wa CCM ktk kuua upinzani.
Wewe Zitto achana na Kubenea wewe tayari unajulikana vizuri sana, asiyekujua wewe basi ni wa kumwonea huruma sana wewe ndo una chuki ndo maana unapenda kukaa na watu wenye chuki na husda na kujipendekeza kama kina Makonda, bahati mbaya kwako na genge lako ni kuwa, serikali ya Rais Magufuli haina muda na wanafiki kama wewe.
Halafu anaemuonglea ni Zitto,... Makonda na Dkt Slaa wameingiaje hpo?!! Chefuuuu..Mbona kama wewe mleta mada uko na chuki vilevile?
Ttzo umekua na chuki na chadema sana paspo sabbUsikute ndio Kubenea Mwenyewe. ..nawaza tu.
Zito ana chuki nzito na mzazi wake wa kiume,chunguza ubini wake kabla ya kutema povu
Kunasehemu nimetaja Chadema. ?Ttzo umekua na chuki na chadema sana paspo sabb
Sasa hapo nani kazushiwa kati ya mtoa habari au zittovijana wa BAVICHA NA wafuasi wa CHAGADEMA ugonjwa wa ZITTOPHOBIA utawaua .Ukiona unatumia muda mwingi kumzushia mtu,kumsengenya,kumfitinisha na jamii bila ya huyo mtu kukujibu basi tambua huyo mtu ni bora zaidi yako. Kwa kifupi Chagga Development Manifest (CHADEMA) hamumuwezi ZZK. Fanyeni yenu.