Kubenea ana ugonjwa wa chuki (Uchambuzi)

Kubenea ana ugonjwa wa chuki (Uchambuzi)

Kubenea mmesema ana elimu ndogo ya kuungaunga..inakuwaje nnamuandama kila siku..tatizo nini..nyie wasomi ingekuwa bora mungempuuza kubenea..inaonekana nyie na usomi wenu kubenea kawashika pabaya ndio maana kila siku mnaandika waraka mpya wakumsema na kumzushia huyu nguli wa habari
Nani anahangaika na kumuandika Kubenea? yeye ndio kutwa kucha anawaandama watu walewale. Kama alivyomuandama Lowasa kabla hajalamba mshiko wa fisadi, basi nadhani na kwa Zito ataacha tu baadae.
 
...nashukuru kuona sindano za Kubenea zinaendelea kugusa mfupa wa mwami,na bado...,mkitaka bosi wenu aachwe nae aache tabia zake za kitapeli.
Sio mchana kakiwa bungeni kanampigia makofi makufuli,halafu kakishasifiwa usiku kakienda twitter kanamwambia mshindi wa znz atangazwe.!!
 
Hoja hapa ni uwezo mdogo wa uandishi wa habari wa Said Kubenea. Wala sio kabila la Zitto na mleta uzi. Kubenea na wengine wengi wanaoandika utumbo kwenye magazeti ya nchi hii katika miaka ya hivi karibuni ni aibu ya shule za uandishi wa habari tulizonazo. Hizi ndizo products ambazo waalimu wa journalism wanajisifu!, wapendwa bado tuko shimoni na sauti ya mtu anayekuja kutuokoa bado haijasikika.

Anzisha lako mkuu uandike unavyotaka wewe.
 
ZZK naye aanzishe lake ajibu mapigo ila kulalamikia habari za mtu na chombo chake binafsi ni ujinga...usinunue hilo gazeti.
au kama kuna hoja za kisheria peleka mahakamani sio kumsakama mtu anayetumia resource zake kuendesha chombo chake umpangie cha kuandika.
 
Mleta uzi na Kubenea wote kwangu mko sahihi; Kubenea anaongeleaga maovu ya Zitto na mwandishi kachagua mazuri ya zitto, ni vile tu umeamua kusimama upande gani ili ujue Namba 6 yaweza kua 9 depending where you positioned yourself.

WachaMungu wanamchukia sana shetani but wapo wanaomuabudu shetani huyo huyo na kumsifia as well. Wengine hatuna maslahi binafsi na yeyote kati ya Zitto wala Kubenea but swali huaga najiulizaga; hivi Zitto huwa ana nini na vyombo vya dola? Pamoja na kutishia kunyang'anya ULAJI wa Pinda bado hajawahi kuguswa hata na police?

Wagombea ubunge wote wa upinzani Kigoma walikamiwa kweli kweli na hadi sasa kunaonekana haki imegoma kabisa kumfuata Kafulila lakini Zitto hapana; kaweza hadi kufanya makubaliano ya kubadilishana majimbo na mgombea wa CCM na wote wameshinda.

Nakumbuka tukio 1 la Dr. Slaa mwaka 2007, alitaja mshahara wake kama mbunge akiwa mkoani Singida na tena alikua peke yake, alisakamwa kweli kweli si na vyombo vya dola tu bali hadi aliyekua spika wa bunge wakati huo mzee 6; Zitto akiwa Mpanda alitaja mshahara wa waziri mkuu (sio mshahara wake yeye zZtto) na akiwa Igunga akataja mshahara wa rais, hadi leo sina kumbukumbu kama kuna chombo chochote kilicho mu attach ukiachilia mbali Pinda kulia lia tu bungeni wakati akijibu swali la mbunge mmojawapo.

Swali: Zitto ana nini na serikali?

Nakumbuka matukio kadhaa ya Godbless Lema; amewahi kua anatembea tu toka mahakamani kwenda ofisini kwake na wafuasi wake/wapiga KURA wake wakawa wanamfuata kwa nyuma, alikamatwa na kuwekwa ndani na police; alikwenda kusuruhisha mgogoro wa wanafunzi wa chuo cha UHASIBU Arusha, again police kwa kushirikiana na aliyekua mkuu wa mkoa huo akawekwa ndani!

Dhambi zilizofanywa na Lema na Zitto zaweza kuwa sawa au mwingine kafanya sana but adhabu hua tofauti. Nauliza Zitto hua ana nini cha zaidi?

Hongera Kubenea, hongera mleta uzi; kwangu nyie wote mko sahihi kwa mitazamo yenu.
Nafikiri wangetoa majibu kwa maswali yako haya basi suluhisho la kuzielewa tabia za ZZK na kumwelewa kwa nini yeye ni tofauti na wapinzani wengine ingefahamika.
 
...

Swali: Zitto ana nini na serikali?

...

Dhambi zilizofanywa na Lema na Zitto zaweza kuwa sawa au mwingine kafanya sana but adhabu hua tofauti. Nauliza Zitto hua ana nini cha zaidi?

Hongera Kubenea, hongera mleta uzi; kwangu nyie wote mko sahihi kwa mitazamo yenu.

Hapo ndipo itabidi umpe ZZK heshima yake kama mwanasiasa "smart" anayeendesha shughuli zake kwa hesabu na malengo maalum.
 
Wewe ndo mgonjwa wa akili, nakushauri km unatumwa acha kutumika, km hutumiwi umeamua tu acha chuki zisizo msingi, badala yake jitume kwa faida ya familia Na nchi yako
 
Uchambuzi mwanana kabisa, chuki ni ugonjwa mbaya sana, naamini mwisho wa kubenea utakuwa mbaya sana, tatizo lake ni elimu , elimu yake ni ya dini na dunia viko chini sana!
Mlishasema kuwa huyu jamaa hajasomea kabisa hii taaluma ya uandishi wa habari, sasa hayo maadili yake atayajulia wapi? Kwanza nakala ya mleta hoja kwa Kubenea ni elimu anayoendelea kuipata hapa na pale free of charge.. Kuna masahihisho machache ili somo lieleweke vizuri:
1. Physcopathology ni somo la magonjwa ya akili - ukichaa.
2. Phobia ni uwoga wa kupitiliza wa kitu fulani. Kwa mfano mgonjwa wa kichaa cha mbwa huogopa sana maji - hydrophobia.
3. Schizophrenia: Huyu ndiye kichaa haswa anayekidhi sifa kuu zote nne za Schnida. Huona vitu ambavyo havipo eg. nyoka - visual hallucinations. Husikia sauti au maongezi ambayo hayapo eg vua la sivyo tutakuua - auditory hallucinations. Huhisi kuguswa na vitu visivyokuwapo eg minyoo - tactile hallucinations nk nk
Mtu huyu huwa completely untouch with reality!
 
Anzisha lako mkuu uandike unavyotaka wewe.
Suala sio kuanzisha gazeti langu, pointi ni kwamba ninaiuhurumia sekta nzima ya uandishi wa habari, haina standards imejaa kila aina ya makanjanja. Nitakapoanzisha la kwangu bado tatizo la ukanjanja litabakia pale pale
 
...nashukuru kuona sindano za Kubenea zinaendelea kugusa mfupa wa mwami,na bado...,mkitaka bosi wenu aachwe nae aache tabia zake za kitapeli.
Sio mchana kakiwa bungeni kanampigia makofi makufuli,halafu kakishasifiwa usiku kakienda twitter kanamwambia mshindi wa znz atangazwe.!!
Kubenea ni ndumilakuwili mbobezi.....nyumbu kama nyie ndio mnaona ana mantiki....wenye maono na fikra huru Kubenea ni kituko
 
Yaaani andiko reeeefuu kisa chuki zako binafsi na Kubenea. Ni vema ujue kuwa Kubenea ameshakuwa mbunge halali wa Ubungo majungu yako labda yatazidi kumpaisha tofauti na unavyoamini.
Acha kumshambulia mleta mada....vithibitisho viambata vinaonesha kubenea ana chuki na ni kanjanja wa habari......nyumbu wake kama nyie ndio mnamshadadia
 
Acha kumshambulia mleta mada....vithibitisho viambata vinaonesha kubenea ana chuki na ni kanjanja wa habari......nyumbu wake kama nyie ndio mnamshadadia

Mleta mada ana chuki binafsi na Kubenea....bado ana machungu ya uchaguzi labda.
 
Tulieni dawa iwaingie tunawadundisha muache kufikiri kwa moyo, muanze kutumia kichwa sasa
 
asante maloto kwa kutueleza kwa kina kijisehemu cha gonjwa hatari la KUBENEASIS linalomtesa mbunge wa ubungo saed kubenea. endelea kutuelimisha vijisehemu vilivyobaki. KUBENEASIS - chuki, unafiki, uongo, uzandiki, ndumilakuwili, kigeugeu, usaliti, kukatika mshipa wa aibu, kutovumilia njaa - magonjwa nyemelezi yatokanayo na KUBENEASIS

pia nashauri vyuo vya uandishi wa habari vifundishe kwa msisitizo mkubwa waandishi wanafunzi kuwa mbali na gonjwa la KUBENEASIS kwa kuzingatia misingi sahihi ya uandishi wa habari. kwa kufanya hivi tutaliepusha taifa na waandishi wa habari aina ya saed kubenea wenye kuugua KUBENEASIS.

hongera luqman maloto, tunasubiri.
 
Last edited:
Pamoja na hoja nzuri uliyojaribu kujenga kadri ulivyoweza, andiko lako pia linathibitisha kuwa na wewe una upande. Kwa kutetea Zitto, Mwigamba, Prof Kitilla, Dr Slaa, Prof Lipumba, Dc Makonda na Ridhiwani inafanya wewe uwe unayetazama kibanzi kwenye jicho la mwenzako huku ukipuuzia boriti jichoni kwako.

Naamini andiko lako sio bahati mbaya kuna madhumuni umetumwa kuyatekeleza
 
Zitto Ruyagwa Kabwe amechanganyikiwa, baada ya kusaliti mabadiliko ya kweli amekuwa mtu asiyejielewa, amekuwa kama mbwa kichaa anayemvamia mtu yeyote na kumng'ata, yeye na Dr Slaa hawana tofauti, tofauti yao ni kuwa Zitto ni kijana na hana mwanamke anayeeleweka, na Dr slaa ni mzee na ana hawara anayeeleweka.

Zitto amesema ktk tweet yake kuwa Kubenea anaumwa ugonjwa wa chuki, sasa sijui ni nani mwenye huo ugonjwa kati ya kubenea na Zitto? Zitto ni mnafiki na nyoka mwenye vichwa viwili anayegonga huku na kule, amekuwa akijipendekeza kwa serikali ya CCM kila Leo, bahati nzuri wenye akili zao wanamjua tayari kuwa Zitto ni mtu wa aina gani, Zitto ni mnafiki na anachuki kubwa kwa watanzania maana anawadanganya kuwa yeye ni mpinzani kumbe ni wakala wa CCM ktk kuua upinzani.

Wewe Zitto achana na Kubenea wewe tayari unajulikana vizuri sana, asiyekujua wewe basi ni wa kumwonea huruma sana wewe ndo una chuki ndo maana unapenda kukaa na watu wenye chuki na husda na kujipendekeza kama kina Makonda, bahati mbaya kwako na genge lako ni kuwa, serikali ya Rais Magufuli haina muda na wanafiki kama wewe.
 
Back
Top Bottom