YULE NI MBUZI tuDua la kuku halimpati mwewe. Kubenea ameshakuwa mbunge mlie, mbinuke haitasaidia
Hata kama Zitto ana matatizo lakini inavyoonekana hakushindi wewe. Matatizo yako uliyoyaeleza hapa nyuma ya maandishi yako, yanaoesha unahitaji msaada wa haraka. Zitto mwenzio anafanya kwa ajili ya siasa wewe unafanya kwa ajili ya nini? Hebu jipange ulete issue badala ya kuzungumzia maisha ya mtu binafsi utafikiri umeachika bwana
umenena ukweli mkuuHuyo jamaa naye ajipange kuwekwa kwenye page ya mbele ya Mwanahalisi.
Tena zinaweza kutengenezwa transaction za M-Pesa ionekane amelipwa na Zitto K kuyaandika haya.
Ngoja tusubiri!
Kubenea ukikaa kimya umekubali kushindwa!
naona kaz ya kubenea kkuajiri imefanikiwaWe mwandishi umenichosha sana kusoma gazeti lako, ningejua nisingesoma.
By the way ni bora ungenyamaza kulko kuropoka usiyoyajua.. Hakuna asiye jua huyo Msaliti Zitto ni HEWA na MNAFIKI tu hana lolote..
Naona naww unamsaidia kueneza itikadi za chama tawala..
kumbe ata KUB kaz bure yeye mbn akuyaona kwa hy kambi pinzan yote ilisubili zitto aibue makontena ndo wajue kila kitu wasubiri yy huna hoja rudi ufikilie kiwango chakoUmeeleza uzuri wa Zitto na kukerwa na makala za KUBENEA lkn Zitto ni mzalendo wa mdomoni tu. Uzalendo wake wa kutafuta umaarufu ndy maana hawezi kuwa chini ya kiongozi mwingine. Kubwa zaidi amekuwa mwenyekiti wa KAMATI YA MASHIRIKA YA UMMA hata siku moja sikusikia wizi wa MAKONTEINA mzalendo gani anakumbatia wizi wa mali za umma. Uzalendo wake una tia shaka. Hata kutokuunga mkono juhudi za upinzani kuhusu znz ni uzalendo gani huo, anapenda kubalansi huku apate na huku apate
Acha akili fupi hzo, m nimejiajiri mwenyewe na nna Kampuni yangu..naona kaz ya kubenea kkuajiri imefanikiwa