Kubeba nauli kamili nayo ni shida

Kubeba nauli kamili nayo ni shida

Ndugu zangu kubeba nauli kamili nayo ni shida, yani nimepanda daladala Kondakta mmoja akaingia kwenye gari amevaa suti za blue za daladala na miwani Kisha akakusanya pesa gari Zima alafu akakaa siti ya nyuma.

Sasa baada ya muda Kondakta mwingine akaanza kukusanya pesa/nauli watu wakalalamika na kusema tayari tumelipa na kumuonyesha tuliemlipa Kondakta akacheka na kusema huyo tuliemlipa ni kipofu na alikuwa anaomba msaada.......
Asee you made my nite..kali sana hii..
 
ha ha ha nmcheka kwenye,gari kwa saut maana,,,,
 
Back
Top Bottom