mr gentleman uko sawa kabisa lakini umekosea sana uliposema mtu azoe tu kisa vigezo visizidi,kikawaida nafikiri vigezo vya kiasi ni muhimu ili kumpata mwenzi wa ndoa atayekupa furaha na utakayempenda,tena vigezo hivyo vibase sana kwenye tabia na si mwonekano na pesa,nina imani hata wewe ulikuwa na vigezo vya uliyependa aje awe mwenzi wako sivyo?na ndoa ili iwe ne furaha ni muhimu mtu awe na mtu anayempenda kabisa kutoka moyoni na karidhikia kabisa na tabia zake tofauti na hapo kujizolea kunaweza kuleta majuto siku zote za ndoa yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.