Kubali matokeo,kama ni mwanamke wa kweli lakini

Kubali matokeo,kama ni mwanamke wa kweli lakini

Eeeh jamani ndo umkubali tu hata mtu ambae humfeel kabisa kisa ndoa? Vigezo lazima viwepo kidogo jamani though visizidi sana
 
Ndoa ni kujenga uhusiano lakini ukweli wenyewe huwa kama watu walio kwenye ugomvi ili wapatane lazima wa compromise.
Kila mtu ashuke au alegeze kiasi kwenye vigezo vyake ili wakutane mahali fulani katikati ndoa iwepo. Mmojawapo au wote wawili waking'ang'nia vigezo vyao hamna ndoa hapo.

Mtu anataka msomi wakati yeye sio msomi kihivyo
Mtu anataka mwenye pesa wakati yeye hana pesa.
Mtu anataka portable wakati yeye ana kitambi.
Mtu anataka mwenye kazi nzuri wakati yeye ya kwake ni ya kubangaiza.
Mtu anataka mke/mume kama wa rafiki yake wakati watu hawalingani - kila mtu na namna yake.

Compromise, compromise!
M

Umeiba poiny yangu kichwani mkuu
 
Mdada wa kiafrika huwez kuiga maisha ya kizungu..... heshima ya ukweli uku lazima uoe/uolewe... vngnevyo hata kupata nyumba ya kupanga kazi
 
Mmeanza tena.....tulipumzika hapo kati. Na mutuwache tulale
 
Isaya 4: Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
 
Mdada wa kiafrika huwez kuiga maisha ya kizungu..... heshima ya ukweli uku lazima uoe/uolewe... vngnevyo hata kupata nyumba ya kupanga kazi

Kama wakitukataa kwenye nyumba zao tunajenga zetu.....ila kiukweli mi sielewagi.logic ya wenye nyumba kuwakataa singoz
 
Kama wakitukataa kwenye nyumba zao tunajenga zetu.....ila kiukweli mi sielewagi.logic ya wenye nyumba kuwakataa singoz

Kujenga sio kila mtu anaweza bt nakumbuka nlikataliwa kupanga apartment moja iv kisa cjaoa wapangaj wengne wameoa
 
hahahaha huu ushauri wako haufai kabisaaa

nakuunga mkono!! mimi nashangaa wanaoshupalia ke kuolewa ndo heshima wkt akiolewa anadhalilishwa mpaka sifuri so ndoa sio lzm hayo ni mapokeo yasiyo na mashiko kwa miaka hii...nafasi ya ke ktk jamii sio wa2 wa kuolewaolewa na wao cku hzi wanaoa...
 
Wewe n ke au me?
 
Azoe yoyote ataekuja mbele yake. Swali;- huyo wakuzolewa YUPO??

Ikifika point ya ata 'wakuzoa' hatokei,basi ndio tunaita kudoda..Ni kusuburi kudra za mwenyezi Mungu tu hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom