mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,221
- 4,694
- Thread starter
- #41
Maisha sio kuolewa tu.....
Na ndoa sio kuridhisha walimwengu kwamba waokote yoyote yile kama nyanya sokoni (unaweza kudhani mradi kuolewa tu kama hujaoa/olewa)
Stara haijengwi na ndoa pekee
Wanawake wangapi wameolewa hawaheshimiki? Heshima huketwa na vitu vingi....
Waache waishi maisha yao. Maana;-
Kwenye maisha sio kila mtu ataolewa... sio kila mtu ataoa... sio kila mtu atazaa... sio kila alozaa atapata watoto wema...
Muwaaache wapumue
Usiseme kuolewa sio lazima,kuolewa ni lazima....Hakuna furaha njema kama kuwa na family sasa bila ndoa utaipataje iyo furaha? na sidhani kama kuna mwanamke hapendi kuonja furaha ya familia izo shulba za kwenye ndoa haziepukiki ndio ups and down zinazojenga ndoa imara,uwezi kuwa na furaha ndoani siku zote.
Na kuhusu heshima, ndoa inaleta heshima sana...Status ya mwanamke mtu mzima aliyeolewa ni tofauti na ya mtu mzima asiyeolewa..Usipoolewa unaonekana kama loser ata uwe na nini.