Kubali au Kataa hili:-

I' am advanced intelegent enough ujue !
Then for several skills dealin with investigation !
Either am fully accredited and well experienced senior detective with specific matters !
Ungekuapo ningekustukia ! Na ingekua ndiyo lazima nikujue!

What makes you so sure mr judge?
Sidhani kama ungepatia..........labda kwa bahati nasibu!
 
What makes you so sure mr judge?
Sidhani kama ungepatia..........labda kwa bahati nasibu!

Sasa ngoja nikumalizie mzizi wa fitna !
Hivi siku zote hizi kumbe wajidanganya sikujui ?
Kwa taarifa yako hapa Jeiefu kuna raia wa5 mi nawajua kwa real image zao , (na wewe u'miongoni mwao!) bt wao hawanijui image yangu.
Ndiyo ujue mi ni mafyoso!
Nimewajuajuaje usiniulize!
That's homework remained to you .
 
aaaa wapi.......hiyo mikwala tu!
Wapo wanaonifahamu ila sio wewe mr judge......!!

Nitabishi mpaka kesho na keshokutwa......!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom