Kubaka kwa style hii ni kosa?


We acha we! mke kagoma na housegirl anataka! patamu hapo! Alambe wafuatao, 1.House gelo wake,2. raffiki wa mkewe,3. Mdogo au dada wa mkewe na mwisho asikilizie tifu kwanza,mengine ntamwelekeza zaidi akimaliza hayo kwanza.
 
ha haaaa, mdogo wangu snowhite kama umemshinda basi wewe kiboko.....
Ila sasa shosti ungetuambia toka mwanzo kwamba ni yule yule wa mwanzo, wenzio si tulidhani penzi jipya?
msalimu sana soul mate...... mu-enjoy hii weekend
 
Last edited by a moderator:
Kumlazimsha mke na kufanya nae mapenzi kwa lazima inawezekana, na inatokea sana kwa wanandoa! ila wakati mwingine kufanya mapenzi ya lazima na mtu amenuna tuuuu, hainogi!
Ni vizuri kukaa nae na kumuuliza huo uchovu wa zaidi ya miezi miwili kuna nini, unaweza "baka" kumbe mtu mgonjwa yakawa mengine au labda kuna sababu nyingine za ndani zaidi..
La sivyo kama hajiskii tu na hana sababu za maana....apige off side tu, but si kwa hg,
 
labda kashagundua unammendea house gal,picha ingekuwa tofauti ina maana labda upate klisukari ushindwe kupafom ungetaka mkeo aende nje?mkaribishe shetani aibomoe nyumba yako....sex labda uchunguze kwa kuongea naye nini tatizo ....
 
huyo mwanaume asitafute justification ya kutembea na house girl. otherwise azungumze na mkewe inawezekana kuna mambo yamejificha nyuma ya pazia. si vizuri kumjudge huyo dada moja kwa moja wakati haijulikani upande wa pili kuna nini.
 
house girl si alishamkatalia, au naye anataka kumbaka?

Ukisoma msitari kwa msitari ni kwamba hg anamtaka jamaa, ila jamaa anmuheshimu mkewe.

Nahisi huyu mama ana miradi ya nje!
 
Hivi kama mtu ni mgonjwa.. Si huwa anaenda hosp??

Au huyo mywaifu wake ni mgonjwa daily???

Na kazi anafanya kwenye godown sehemu ya kupakia na kushusha mizigo au???

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ndoa zinamambo!
Huyo dada hakuambiwa ndoa ni kulala bila c.h.u,p,i?
Ila from my experience jamaa lazima kamtibua mkewe so mamaa anatumia uroda kumwadhibu mumewe.
 
ni bora amweleze mkewe ajiulize pia kwanini housegal kamtaka? ukute ana yake ni bora ayamalize na mkewe
 
kaka acha ujinga, huwezi kunyimwa kaki yako ya msingi muda wote huu halafu unatulia tu. hata kama mmegombana ni kosa kubwa sana kutoa adhabu kama hiyo. hii ni haki ya msingi hivyo haina mjadala. siwezi kukaa na wife zaidi ya wiki bila papuchi labda niwe nimesafiri. KAKA JARIBU KUCHUNGUZA, LABDA KUNA SEHEMU ANAMALIZIA HAJA ZAKE.
 
Mike[MENTION][/MENTION] 1234 hujatuweka wazi na tutaishia kutoa ushauri usiokidhi haja naomba unijibu
huyo wife ni kabila gani?
huyo hg ni kabila gani?katafutwa na nani?

kwa sababu inaonekana kuna mchezo hujauelwa hapo kati ya wife na huyo hg,kwani kuna makabila mengine mke anakutaftia mke mdogo na sio lazima akuambie ni mke mdogo unaona tu kwa matendo

na vilevile nikijua kabila la wife tunaweza kujua umfanye nn kwani makabila mengine hawakupi papuchi bila kufanya ubabe
 
Cha msingi avunje ukimya azungumze na mkewe pengine kuna jambo mdada amelificha moyoni mwake so amuulize kwa upole . Mimi naamini akivunja ukimya mambo yatakua safi, mawazo ya kufikiria HG ni mawazo mafu na wala hayana tija. Narudia tena azungumze na mkewe kwa kina. Unajua kuna kina mama hupenda kubembelezwa sasa ajaribu kumbembeleza pia
 
ha haaaa, mdogo wangu snowhite kama umemshinda basi wewe kiboko.....
Ila sasa shosti ungetuambia toka mwanzo kwamba ni yule yule wa mwanzo, wenzio si tulidhani penzi jipya?
msalimu sana soul mate...... mu-enjoy hii weekend

hahahahahaaaaaaa jamanii kumbeeeee.......!!! ndio maana walikuwa wananishikia bangoo loooh hehehehehehehehh!!!
Mie nlijua wamenielewa laaaah!! Soul mate hajambo mwaya ananipet pet tuu na wik end hii kwetu mvua inanyesha yaani hapa full kujifunika mablanketi.
Salamu zimefika nawe wik end njema mwaya.
 
hajisikii vizuri miezi 2?
anaumwa? au mjamzito?

Aumwe au ujauzito ndo iweje? Miezi 2 mzee mwezangu kuna mtu anakusaidia! Km vp mrudishe nyumbani akapumzike miezi 3amuache house girl......
 
ushauri wako ni wa msingi sana na utazingatiwa
 
Naipenda JF ukiwa na tatizo maushauri kibao, jamani nashukuru kwa ushauri wenu sasa nimepata la kuongea nao
 
Mie huwa natoaga zawadi kabambe kuponyesha ugonjwa au humgharamiya cliniki time2timu...."ili pasiwepo migomo baridi"
 
Namchunguze labda ana tatizo lakisaikolojia tht iz why ana hajisikii..au wajanja nnje wana kula kiana.,,,japo ina umma mtu una mgharamia kila kitu alafu ana kunyima unyumba anakutia majaribu ili ukalete ukimwi nnje.
 
huyo mwanaume asitafute justification ya kutembea na house girl. otherwise azungumze na mkewe inawezekana kuna mambo yamejificha nyuma ya pazia. si vizuri kumjudge huyo dada moja kwa moja wakati haijulikani upande wa pili kuna nini.

kwa maana hiyo mambo tofauti na unyumba huyu mwanamke hasira anazielekezea komani (kweye "o"weka "u")
nawahakikishieni kuna janga analitafuta, na atakula na watu wa kwao. subiri kicheche kigundue, atajutaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…