oyaa Kwan mabibo hostel ndo ippo townBro baki mjini hapo au huwezi shuttlepori!!!
Huwa panaitwa mjini kule na Main campus mazingira yake tofauti sana!!! hasa Huduma zake zipo zakutosha kuanzia stationary km mzee wa mpira kule game zote utakuwa unacheki msosi ni full mama kifusi Yupo kwa ajili yenu kuwapa madinioyaa Kwan mabibo hostel ndo ippo town
100% wewe utakuwa mhaya ........I regret to know your tribe ........mmeamia huku siku hz, kaandike tangazo kwenye lift y hall 5 au hall4, hautakosa mtu
Kijana kama unataka fanya kinachokupeleka chuo kwa nidhamu na ufanisi nenda main campus(Boardin) utafurahi...
Ila kama unapenda maisha ya KIOO nenda Big Brother Africa(Mabibo Hostel) utaenjoy..!





Huwa panaitwa mjini kule na Main campus mazingira yake tofauti sana!!! hasa Huduma zake zipo zakutosha kuanzia stationary km mzee wa mpira kule game zote utakuwa unacheki msosi ni full mama kifusi Yupo kwa ajili yenu kuwapa madini