Kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya afya pekee

Mwenye connection na kituo kinachohitaji muuguzi...popote pale Tanzania hii naomba anicheki...nimehitimu toka 2017..mpaka leo napata vibarua vya kuungaunga..namba yangu ni 0769344686
 
Habari ndg zangu Kuna mtu NURSING OFFISER II yupo singida anataka kurudi Kwao DSM WILAYA yoyote. Mwenye connection ya yyte anaetaka kwenda Singida RRH tafadhali. Tuwasiliane 0783973428
 
Back
Top Bottom