Kuna Tabibu daraja la II (Clinical Officer) anataka kuhama kutoka wilaya ya Rungwe (Mbeya) kwenda Mwanza,Geita au Mara kwenye wilaya yoyote. nifate PM nikuunganishe.
CLINICAL OFFICER II niko Musoma municipal(MARA) njoo Manispaa ya Musoma nije Mwanza Halmashauri yoyote(Magu,Sengerema,Ukerewe,Misugwi,Ilemela au Nyamagana)