Kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya afya pekee


jayec

jayec

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2017
Messages
603
Likes
452
Points
80
jayec

jayec

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2017
603 452 80
Kutokana na nyuzi nyingi kuja humu jukwaani kwa minajili ya kuomba kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya Afya, ipo haja ya kuwa na uzi mmoja utakaokusanya, kujadili na kujibu maombi yote ya aina hii.Uwe Mganga Mwandamizi, Mganga wa Kawaida, Afisa Tabibu, Muuguzi, Mkunga au Muhudumu wa Afya karibu kwenye uzi huu ukutane na wenzako wenye mahitaji kama ya kwako. Kwenye andiko lako ni vema ukasema ulipo, mkoa na wilaya ambako ungependa kwenda na mawasiliano yako. Tunashauri mtumie barua pepe au namba ya simu
KARIBUNI SANA WATUMISHI
 
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Messages
30,240
Likes
78,790
Points
280
Age
18
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2017
30,240 78,790 280
1st to reply.


Subiri wahusika waje
 
kabunguru

kabunguru

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2010
Messages
244
Likes
194
Points
60
kabunguru

kabunguru

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2010
244 194 60
Niko Tabora,Mfamasia aliye Mkoa wa Morogoro au Pwani awasiliane Nami kubadilishana,aweza kuja pm
 
Ze Heby

Ze Heby

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2012
Messages
4,244
Likes
2,464
Points
280
Ze Heby

Ze Heby

JF-Expert Member
Joined May 20, 2012
4,244 2,464 280
Niko Tabora,Mfamasia aliye Mkoa wa Morogoro au Pwani awasiliane Nami kubadilishana,aweza kuja pm
Piga hela Tabora mkuu,si kuna famasi chache sana ,fungua yako weka gamba lako

Tena iweke pale karibu na Kitete utatajirika maana pale kila dawa O/S
 
mimah abdy

mimah abdy

New Member
Joined
Oct 23, 2017
Messages
4
Likes
3
Points
5
mimah abdy

mimah abdy

New Member
Joined Oct 23, 2017
4 3 5
Natafuta muuguzi wa kubadilishana nae aje moshi niende kibaha au chalinze
 
jayec

jayec

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2017
Messages
603
Likes
452
Points
80
jayec

jayec

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2017
603 452 80
Kuna muhudumu wa afya (M.A) anatafuta mtu wa kubadilishanaye kituo cha kazi, kwa sasa yeye yupo mkoa wa Mtwara na anatafuta mtu wa kutoka Tabora
 
mimah abdy

mimah abdy

New Member
Joined
Oct 23, 2017
Messages
4
Likes
3
Points
5
mimah abdy

mimah abdy

New Member
Joined Oct 23, 2017
4 3 5
Kutokana na nyuzi nyingi kuja humu jukwaani kwa minajili ya kuomba kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya Afya, ipo haja ya kuwa na uzi mmoja utakaokusanya, kujadili na kujibu maombi yote ya aina hii.Uwe Mganga Mwandamizi, Mganga wa Kawaida, Afisa Tabibu, Muuguzi, Mkunga au Muhudumu wa Afya karibu kwenye uzi huu ukutane na wenzako wenye mahitaji kama ya kwako. Kwenye andiko lako ni vema ukasema ulipo, mkoa na wilaya ambako ungependa kwenda na mawasiliano yako. Tunashauri mtumie barua pepe au namba ya simu
KARIBUNI SANA WATUMISHI
Hiv EN na RN wanaweza kubadilishana
 
C

ciproflaxine

Member
Joined
Sep 16, 2017
Messages
17
Likes
8
Points
5
C

ciproflaxine

Member
Joined Sep 16, 2017
17 8 5
me nipo bumbuli.kama yupo wa arsha.manyara au moshi.isipokua same.EN.anicheki pm now
 
M

mrsmau

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Messages
365
Likes
214
Points
60
Age
31
M

mrsmau

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2016
365 214 60
Njoo mpanda manispaa nije geita manispaa
 
M

mrsmau

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Messages
365
Likes
214
Points
60
Age
31
M

mrsmau

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2016
365 214 60
Njoo mpanda katavi nije geita manispaa mhudumu wa afya
 
K

king suleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Messages
1,669
Likes
883
Points
280
Age
27
K

king suleman

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2014
1,669 883 280
Mimi EN Natafuta Tempo Au Kazi Kabsa Maana Toka Nimemaliza Cjapata Kazi Najua Humu Wapo Wenye Data Nipo Dodoma Nimehitimu 2016 Ndanda School Of Nursing & Midwife
 
A

aloyce lukensa

New Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
3
Likes
0
Points
3
A

aloyce lukensa

New Member
Joined Oct 11, 2017
3 0 3
Natafuta mtaalam wa maabara aje kigoma DC mi niende Mpanda manispaa
 
S

SirBonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2010
Messages
383
Likes
277
Points
80
S

SirBonge

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2010
383 277 80
RN muuguzi, njoo Morogoro mjini nije Mwanza mjini
 
SG8

SG8

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Messages
3,528
Likes
574
Points
280
SG8

SG8

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2009
3,528 574 280
Natafuta mtaalam wa maabara aje kigoma DC mi niende Mpanda manispaa
Hivi kuhama bila kubadilishana haiwezekani? Maana kuna taasisi zinahitaji watu zina nafasi wazi kada za afya hasa Wauguzi, Wafamasia, na watu wa Maabara
 
A

aloyce lukensa

New Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
3
Likes
0
Points
3
A

aloyce lukensa

New Member
Joined Oct 11, 2017
3 0 3
Wataalam wa maabara siyo watu wa maabara
 
jiwe angavu

jiwe angavu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Messages
1,509
Likes
2,170
Points
280
jiwe angavu

jiwe angavu

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2015
1,509 2,170 280
Umesahau maafisa afya..
 
M

mrsmau

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Messages
365
Likes
214
Points
60
Age
31
M

mrsmau

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2016
365 214 60
Nije geita, katana, mwanza.. Njoo Mpanda manispaa mhudumu wa afya
 

Forum statistics

Threads 1,262,349
Members 485,558
Posts 30,120,958