Kubadilisha Certificate/imei ya S6

Khan

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
6,240
2,000
nimekuta humu mara nyingi watu wakizungumzia namna ya kubadili certificate/imei .... Naombeni kama kuna mTaalamu anisaidie niweze kubadili imei ya simu yangu maana haisomi line!
 
2991

JF-Expert Member
Feb 3, 2017
619
1,000

kubadili imei ni kosa kisheria na hukumu yake ni miaka 10 jela au faini milioni30 au vyote kwa pamoja... just kukukumbusha tuu
 
mimi sijaulizia maswala ya sheria nahitaji namna ya kubadili
 
Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
6,654
2,000
Shezi kabsa, TCRA wako nyuma yako pambana na hali yako tu
Mkuu mbona povu?!!kama ni kosa mtahadharishe kwa busara tu nchi hii sio kila mtu anazijua sheria as long as waliozitunga wenyewe kuna wakati wanazivunja itakuwa raia wa kawaida kutozijua!!!back to the topic,kama unajua namna ya ku-root simu fanya hivyo njia hii nayo inasaidia.kuna baadhi ya simu ukizi-root automatically IMEI inabadilika,nilishawahi kufanya hivyo ndo maana nimesema.
 
ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
12,045
2,000
nimekuta humu mara nyingi watu wakizungumzia namna ya kubadili certificate/imei .... Naombeni kama kuna mTaalamu anisaidie niweze kubadili imei ya simu yangu maana haisomi line!
50 unayo ya fasta
 
yangu nimefanya ivo sasa imezingua ndio maana natafuta solution
 
Elya

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
262
250
nimekuta humu mara nyingi watu wakizungumzia namna ya kubadili certificate/imei .... Naombeni kama kuna mTaalamu anisaidie niweze kubadili imei ya simu yangu maana haisomi line!
Lakini mkubwa line kutosoma c tatizo la imei, kwa nijuavyo ni network ndio hupati
 
2991

JF-Expert Member
Feb 3, 2017
619
1,000
Ule usemi wa Ulipo Tupo siyo tu kwa Shilawadu, applicable kwa TCRA pia... tunawachora tyuuuu
 
2991

JF-Expert Member
Feb 3, 2017
619
1,000
Mkuu mbona povu?!!kama ni kosa mtahadharishe kwa busara tu nchi hii sio kila mtu anazijua sheria as long as waliozitunga wenyewe kuna wakati wanazivunja itakuwa raia wa kawaida kutozijua!!!back to the topic,kama unajua namna ya ku-root simu fanya hivyo njia hii nayo inasaidia.kuna baadhi ya simu ukizi-root automatically IMEI inabadilika,nilishawahi kufanya hivyo ndo maana nimesema.
eti cmu ukiiroot imei zinabadilika? urs is WORLD'S FIRST...
 
Khan

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
6,240
2,000
Lakini mkubwa line kutosoma c tatizo la imei, kwa nijuavyo ni network ndio hupati
mkuu leo nimetumia ujuzi wangu .....Nimefikiria kama Einstein Vile ila nilichoambulia ni kufungua calls na sms line inasoma ila data hakuna ... kwa juu simu inaandika Roaming Indicator
 
2991

JF-Expert Member
Feb 3, 2017
619
1,000
muanzisha huu uzi nijibu haya... hapo ilipo cmu yako ukipiga *#06# inakuletea imei zipi? na hizo imei zinazokuja hapo ni sawa na zile zilizopo nyuma ya cmu yako?... lengo ni kujua kama unahitaji imei changing or just a repair.. yawezekana ur original imei zimekuwa blacklisted au efs partition ya cmu yako ime corrupt so imei zimebadilika
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom