Kubadilika kwa mke ni tabia chafu za mume

Kuna kijiukweli fulani.....

Kwamba tabia za mume zinachangia mke kubadilika
 
Hili swala siyo kwa mume peke yake. Hata tabia za mke zinaweza badili tabia ya mume pia...
 
Stop OBJECTIFICATION OF WOMEN ... wanawake nao ni binadamu wenye maamuzi binafsi na utashi kama walivyo wanaume, mwisho wa siku kubadilika kwa tabia ni UAMUZI wa mtu na si ishu ya jinsia. Mitazamo kama yako ndio inayoendelea kuwafanya wanawake wengi wawe WATUMWA wa wanaume.

Be yourself and take responsibility ...

Mtazamo wako ni sawa na ule wa wanawake wanaosema ... ''AKU, SIWEZI MPA MWANAUME HELA MIE HATA SIKU MOJA''
 
Hii ni kweli. Unawezakuta mwanamke alikuwa mtulivu na mwenye upendo asilimia 100 kwa mumewe, halafu anakuja gundua kuwa mume wake sio mwaminifu. Hapo ndipo upendo hushuka kutoka asilimia 100 hadi 50. Na upendo ukishuka sio rahisi kumpa huduma vizuri kama mwanzoni. Lkn pia, unaweza kukuta mwanamke wakati anaolewa alikuwa na sura ya furaha na bashasha na kwa kweli alikuwa anapendeza kwa tabasamu zuri maana anamwamini mumewe kuwa anampenda yeye pekee, sasa anapogundua kuwa mumewe anatembea na wanawake ovyo ovyo, kujiamini kwa mwanamke kunapungua sana na sura ya tabasamu inapotea maana wingu la huzuni na mawazo hutawala na hapo ndipo watu wanapoanza kusema mbona huyu mwanamke zamani alikuwa mcheshi sana na mwenye kutabasamu, hivi ni nini kimemkumba?
 
Hii ipo pande zote mbili tabia za mmoja zinaweza kumuinfluence mwingine kubadilika in positive au negative way japo kuna sababu nyingine nyingi lakini spouse/ mchumba /mpenzi wako anamchango mkubwa kwenye mabadiliko ya tabia
 
Stop OBJECTIFICATION OF WOMEN ... wanawake nao ni binadamu wenye maamuzi binafsi na utashi kama walivyo wanaume, mwisho wa siku kubadilika kwa tabia ni UAMUZI wa mtu na si ishu ya jinsia. Mitazamo kama yako ndio inayoendelea kuwafanya wanawake wengi wawe WATUMWA wa wanaume.

Be yourself and take responsibility ...

Mtazamo wako ni sawa na ule wa wanawake wanaosema ... ''AKU, SIWEZI MPA MWANAUME HELA MIE HATA SIKU MOJA''
Asante kwa maoni yako.
 
Hii ni kweli. Unawezakuta mwanamke alikuwa mtulivu na mwenye upendo asilimia 100 kwa mumewe, halafu anakuja gundua kuwa mume wake sio mwaminifu. Hapo ndipo upendo hushuka kutoka asilimia 100 hadi 50. Na upendo ukishuka sio rahisi kumpa huduma vizuri kama mwanzoni. Lkn pia, unaweza kukuta mwanamke wakati anaolewa alikuwa na sura ya furaha na bashasha na kwa kweli alikuwa anapendeza kwa tabasamu zuri maana anamwamini mumewe kuwa anampenda yeye pekee, sasa anapogundua kuwa mumewe anatembea na wanawake ovyo ovyo, kujiamini kwa mwanamke kunapungua sana na sura ya tabasamu inapotea maana wingu la huzuni na mawazo hutawala na hapo ndipo watu wanapoanza kusema mbona huyu mwanamke zamani alikuwa mcheshi sana na mwenye kutabasamu, hivi ni nini kimemkumba?
Asante kwa maoni yake..
 
Wewe subiri tu, mambo ya urafiki kitu gani, kwani wewe una urafiki na wachina wa xiaomi na huawei ascend?
Tatizo wanawake wengi wanaishi maisha ambayo sio yao wapretend hivyo inapotokea mwanaume ukatenda jambo ambalo sio zuri ndio anapata nafasi ya kuonyesha Yale mabaya aliyokuwa ameyaficha
 
Back
Top Bottom