Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,913
- 11,327
Kaka mm nilifukuzwa kwake sababu tu kazi nilipoteza!Hawa viumbe kama haina ajira na akijua sasa utakuwa tegemezi anakufuza!Asante kwa mawazo mazuri.
Sio watu hawa
Kaka mm nilifukuzwa kwake sababu tu kazi nilipoteza!Hawa viumbe kama haina ajira na akijua sasa utakuwa tegemezi anakufuza!Asante kwa mawazo mazuri.
Sio wote. Wako baadhi.. na wewe kwanini ukaishi mwanamke? Hata kama huna pesa utakiwi kuishi kwa mwanamke. Mlete kwako hata kama umepanga na yeye ana gorofa.. huo ni udhaifu.Kaka mm nilifukuzwa kwake sababu tu kazi nilipoteza!Hawa viumbe kama haina ajira na akijua sasa utakuwa tegemezi anakufuza!
Sio watu hawa
Nimemaliza chuo nakaa home,nilipo mpata nikahamia kwake sababu yy ana nyumba tayari enzi hizo!!Sio wote. Wako baadhi.. na wewe kwanini ukaishi mwanamke? Hata kama huna pesa utakiwi kuishi kwa mwanamke. Mlete kwako hata kama umepanga na yeye ana gorofa.. huo ni udhaifu.
Nakuja kuchukua choda yanguNi ukweliii mtupu..mleta mada upo wapi nikupee soda?
But nyingi kutoka kwa men.. Ni very easy kummbadilisha a woman kuliko kummbadilisha a man.. Thanks..Hili swala siyo kwa mume peke yake. Hata tabia za mke zinaweza badili tabia ya mume pia...
Ni kweli kabisa.Naamini kabisa kwa asilimia kubwa kubadilika tabia kwa mke ni matokeo ya tabia chafu za mume, wanawake wengine wanaweza kutendwa lakini kutokana na hofu ya maisha basi wanajikuta wakiuguza donda lisilopona.
Maamuzi yanahitajika kwa kila mwanamke.
Naomba tuwasilianeNi kweli kabisa.
Nishafanya maamuzi Muda, ctaki ujinga, wanaume wapo kibao wanaojielewa!