Executor JF-Expert Member Sep 29, 2014 867 990 Oct 28, 2020 #1 Habari, Kuna mafundi humu? Nahitaji kubadili kikoo cha Nokia 3.1 gharama ikoje, nikuletee unibadilishie...??? Ahsante.
Habari, Kuna mafundi humu? Nahitaji kubadili kikoo cha Nokia 3.1 gharama ikoje, nikuletee unibadilishie...??? Ahsante.
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,260 142,059 Oct 28, 2020 #2 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: mahondaw
TheGodfather95 JF-Expert Member Sep 27, 2014 1,759 1,798 Oct 28, 2020 #3 Executor said: Habari, Kuna mafundi humu? Nahitaji kubadili kikoo cha Nokia 3.1 gharama ikoje, nikuletee unibadilishie...??? Ahsante. Click to expand... Habari kioo 80,000 ufundi 10,000.
Executor said: Habari, Kuna mafundi humu? Nahitaji kubadili kikoo cha Nokia 3.1 gharama ikoje, nikuletee unibadilishie...??? Ahsante. Click to expand... Habari kioo 80,000 ufundi 10,000.
A Agera 1 JF-Expert Member Jun 5, 2014 4,080 4,184 Oct 28, 2020 #5 jossiest said: Habari kioo 80,000 ufundi 10,000. Click to expand... 2.1 je?
Executor JF-Expert Member Sep 29, 2014 867 990 Oct 29, 2020 Thread starter #6 Aseeee hapa itabidi ninunue mpya tu.... jossiest said: Habari kioo 80,000 ufundi 10,000. Click to expand...
Aseeee hapa itabidi ninunue mpya tu.... jossiest said: Habari kioo 80,000 ufundi 10,000. Click to expand...
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Apr 13, 2017 44,583 188,791 Nov 7, 2020 #7 Kuna jamaa yangu k'koo nimewahi kumuulizia kioo cha Nokia fulani akasema kama simu unaendelea kuitumia fresh basi usiangaike kubadiri. Vioo vingi ni copy sana ndani ya mwezi tu unasikia simu imeanza kuleta maruhani.
Kuna jamaa yangu k'koo nimewahi kumuulizia kioo cha Nokia fulani akasema kama simu unaendelea kuitumia fresh basi usiangaike kubadiri. Vioo vingi ni copy sana ndani ya mwezi tu unasikia simu imeanza kuleta maruhani.
Executor JF-Expert Member Sep 29, 2014 867 990 Nov 13, 2020 Thread starter #8 Nashukuru xn Kichwa Kichafu said: Kuna jamaa yangu k'koo nimewahi kumuulizia kioo cha Nokia fulani akasema kama simu unaendelea kuitumia fresh basi usiangaike kubadiri. Vioo vingi ni copy sana ndani ya mwezi tu unasikia simu imeanza kuleta maruhani. Click to expand...
Nashukuru xn Kichwa Kichafu said: Kuna jamaa yangu k'koo nimewahi kumuulizia kioo cha Nokia fulani akasema kama simu unaendelea kuitumia fresh basi usiangaike kubadiri. Vioo vingi ni copy sana ndani ya mwezi tu unasikia simu imeanza kuleta maruhani. Click to expand...