Kubadili kikoo cha Nokia 3.1

Executor

JF-Expert Member
Sep 29, 2014
798
1,000
Habari,

Kuna mafundi humu? Nahitaji kubadili kikoo cha Nokia 3.1 gharama ikoje, nikuletee unibadilishie...???

Ahsante.
 
Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
39,746
2,000
Kuna jamaa yangu k'koo nimewahi kumuulizia kioo cha Nokia fulani akasema kama simu unaendelea kuitumia fresh basi usiangaike kubadiri.

Vioo vingi ni copy sana ndani ya mwezi tu unasikia simu imeanza kuleta maruhani.
 
Executor

JF-Expert Member
Sep 29, 2014
798
1,000
Nashukuru xn
Kuna jamaa yangu k'koo nimewahi kumuulizia kioo cha Nokia fulani akasema kama simu unaendelea kuitumia fresh basi usiangaike kubadiri.

Vioo vingi ni copy sana ndani ya mwezi tu unasikia simu imeanza kuleta maruhani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom