Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,503
- 145,919
- Thread starter
-
- #161
hehehe, hapo sawa, ngoja nitafte wa kuniasili sasa, nisije nikafa na utamu wangu. lol
Hicho kisa cha pili umenigusa sana Kasinde!
Ahsante sana. Na mchango kama huu wako ndo nilitegemea ingejaa hapa lakini kwa bahati mbaya haijawa hivyo.
Hivi mtu unawezaje kumtupa binadamu mwenzio tena aliye mchanga hivyo?
Natamani sana walau Tanzania kungekuwa na safe haven laws [kama hazipo tayari] ambazo walau zitapunguza wachanga kutupwa kama takataka.
Ahsante sana kwa mchango wako maridhawa.
I owe you a steak dinner at a place of your choice [I'd prefer Kempiski, if you know what I mean].
Halafu tukitoka hapo tunaenda kucheza Duro...baby kpalanga.
If you mean in Bongo now is Hyatt not Kempiski anymore.Hicho kisa cha pili umenigusa sana Kasinde!
Ahsante sana. Na mchango kama huu wako ndo nilitegemea ingejaa hapa lakini kwa bahati mbaya haijawa hivyo.
Hivi mtu unawezaje kumtupa binadamu mwenzio tena aliye mchanga hivyo?
Natamani sana walau Tanzania kungekuwa na safe haven laws [kama hazipo tayari] ambazo walau zitapunguza wachanga kutupwa kama takataka.
Ahsante sana kwa mchango wako maridhawa.
I owe you a steak dinner at a place of your choice [I'd prefer Kempiski, if you know what I mean].
Halafu tukitoka hapo tunaenda kucheza Duro...baby kpalanga.
.
Kwa upande mmoja naelewa kwa nini serikali imefanya mchakato uwe hivyo ulivyo. Nadhani nia ya wao kufanya hivyo ni njema maana hapo ni maisha ya mtu na maisha ya mtu, tena mtoto, si ya kuchezea.
Lakini kwa upande mwingine serikali inaweza kuboresha matunzo na huduma za hao malaika.
Hayo masharti kwangu wala si kikwazo kabisa. Nayakidhi kirahisi sana.
Aisee...natamani usikate tamaa. Ukiasili utakuwa umetenda wema sana.
Huko kuna mauwaji ya Albino?Mbona Ethiopia na Malawi hawana sheria ngumu hivi! Huko watoto wanaasili kirahis sana.
penye utamu pana uchungu, upo tayari?Naomba kuonja huo utamu...
Karibuu. ......
Kuhusu ofa ya mlo wa jioni imekubaliwa..... nimekuelewa vyema Ngabu.....
Hahahahhaaa duroo. ...aah duroo. ...
penye utamu pana uchungu, upo tayari?
If you mean in Bongo now is Hyatt not Kempiski anymore.
Namjua mama mmoja, alikaa kwenye ndoa kwa muda wa miaka Mitano bila kupata Mtoto. Akashauriana na mume wake wachukue Mtoto wa ndugu wamlee, hakuna ndugu aliyekuwa tayari kutoa Mtoto alelewe na ile familia. Mama akaamua kuanza process za ku adopt kutoka kwenye orphanage ya watoto ingawa mume wake hakukubaliana naye. Mama hakufanikiwa kupewa yule Mtoto awe mwana familia kwa sababu hakupata support kutoka kwa mume wake.
Alichofanya aliamua kuchukua jukumu la kumlea yule Mtoto akiwa hapo hapo orphanage anamlipia Ada ya shule, matibabu,mavazi chakula na matumizi mengine
Mbona Ethiopia na Malawi hawana sheria ngumu hivi! Huko watoto wanaasili kirahis sana.
Mchakato wa kuasili mtoto kwa Tanzania una urasimu (kwa nia njema tu ya kulinda maslahi [hasa] ya mtoto husika. Ni lazima uwahusishe watu wa Ustawi wa Jamii ambao watafanya mahojiano na wewe. Nadhani (sikumbuki vizuri) unatakiwa kuishi Tanzania kwa angalau miaka mitatu mfululizo.Kwa wastani huchukua muda gani?
Mchakato wa kuasili mtoto kwa Tanzania una urasimu (kwa nia njema tu ya kulinda maslahi [hasa] ya mtoto husika. Ni lazima uwahusishe watu wa Ustawi wa Jamii ambao watafanya mahojiano na wewe. Nadhani (sikumbuki vizuri) unatakiwa kuishi Tanzania kwa angalau miaka mitatu mfululizo.
Nafanya utafiti na kusoma kidogo nitakujulisha.
Kaka ...
Hahahahah, haya njo uchukue. LolKama njia ya kuupata huo uroda ina uchungu basi nipo zaidi ya tayari Mwajuma.
Nipo tayari kukung'ang'ania ng'ang'anu.
Ntakung'ang'ania shingoni kama tai au kiunoni kama mkanda.
Hahahahah, haya njo uchukue. Lol
Ukichelewa utakuta manyoya hamisiNgoja nichukue bajaji nije fasta..
Ukichelewa utakuta manyoya hamisi
ila hana adabu bhana...mwambieHalafu shem hebu acha kumfanyia baby angu ukorofi! Hujui huyo ndio ameushikilia kamoyo kangu
Ndio....Na nikikuta manyoya ndo basi tena..?