Kuasili mtoto

Nimefurahi na uandishi wa kiswahili sanifu mdogo wangu, Kumbe lugha zote upo fiti.

Turudi kwenye mada: Kuasili mtoto , ile tu kuwa na nia thabiti ya kulea mtoto mwingine ambaye hakubahatika kuwa na wazazi au kuwa na mazingira rafiki, basi wewe ni binadamu unayetambua utu . Unapotoa usiwaze mabaya na usiwaze kulipwa hivyo kama dhamira yakusukuma kabisa juu ya hili basi hesabu kama sauti ya Mungu ndani yako. Fanya upembuzi na ikiwezekana pata mwenza ili mlee pamoja.
 
Nimefurahi na uandishi wa kiswahili sanifu mdogo wangu, Kumbe lugha zote upo fiti.

Hey Da Kinyau...long time no see! Nimefurahi kukuona tena.

Kwenye lugha nipo fiti kalikiti. Hadi Kisukuma kinapanda vibaya mno. Huwa naacha watu midomo wazi.

Turudi kwenye mada: Kuasili mtoto , ile tu kuwa na nia thabiti ya kulea mtoto mwingine ambaye hakubahatika kuwa na wazazi au kuwa na mazingira rafiki, basi wewe ni binadamu unayetambua utu.

Kwangu utu ni jambo muhimu sana. Naamini katika kutoa [kwa kadri ya uwezo wangu] kusaidia wanaohitaji misaada. Ndivyo nilivyo tu.

Unapotoa usiwaze mabaya na usiwaze kulipwa hivyo kama dhamira yakusukuma kabisa juu ya hili basi hesabu kama sauti ya Mungu ndani yako. Fanya upembuzi na ikiwezekana pata mwenza ili mlee pamoja.

Mausia kuntu kabisa hayo. Shukran gidan!
 
Big boss hilo ni jambo la kheri sana, fanya hivyo Boss. Naamini kuna faida zaidi kuliko upande wa pili.

Mtoto ni makuzi as long as atakuwa katika ule msingi utaomuwekea atakuwa sawa tu. Achana na story za sijui atakuwa na tabia za kurithi na story za wala vumbi zilizojaa vumbi. Kwa kufanya hivyo itakuwa umemsaidia si huyo mtoto tu bali humanity as a whole.

Binafsi pia nina huu mpango natumaini mwenzangu huko mbeleni ataafiki.
 
Big boss hilo ni jambo la kheri sana, fanya hivyo Boss. Naamini kuna faida zaidi kuliko upande wa pili.

Ahsante sana. Maoni ya kutia moyo kama haya ndo yanahitajika.

Yessir. And I believe that virtue is it's own reward. So I'm not gonna dwell on the negatives. Negativity can kiss my ass or it can go kick rocks.

Binafsi pia nina huu mpango natumaini mwenzangu huko mbeleni ataafiki.

All the best pal.
 
Hivi kumbe wengi tuna huu mpango ee... By two years letter Mungu akijalia nataka niwe nimefanikisha hili,tena nataka wa miezi minne ka kike. Ngoja tu niweke mambo sawa kwanza
 
Hivi kumbe wengi tuna huu mpango ee... By two years letter Mungu akijalia nataka niwe nimefanikisha hili,tena nataka wa miezi minne ka kike. Ngoja tu niweke mambo sawa kwanza
Safi sana.
 
Teh teh teh...ubuyu umekuwa mbuyu!

Ponda raha mwana kufa kwaja.

Nawe usiache kutoa hela mpaka ATM liishiweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
Hahahaha,
Umemegewa eeh?

Matanuzi yako si ya kitoto.

Nasikia kuna kisiwa kidogo hapo karibu na Bongoyo imebidi wakioe jina lako "Nyani Ngabu Island" jinsi ulivyowarusha watu roho.

Wewe unafikiri kutoa hela ATM ya Slipway mpaka ATM inaishiwa hela mchezo?
 
Please yeye atabaki tu kuwa mume wa kanisani mimi nitakuwa mume wa hiyari! Tutatofautisha rangi za wanetu kwa rangi.. wakake watakuwa black mimi nifyatulie weupe! Sawa bebi wa kuasili?
Haluuu.

Unatafuta kupigwa risasi ya kukuingia sikio la kushoto na kutokea la kulia?
 
Hahahaaaa...uwezo wa kukausha ATM niutoe wapi mie mbeba maboksi?

Nasingiziwa mengi mno haki ya nani. Bongoyo nayoijua miye ni timu ya mpira ipo Msasani. Hiyo ingine nimeisikia kwako.

Labda hadi nikiuza ile nyumba ya urithi ndo ntaweza kujikakamua kukausha ATM....

Ila watu wazushi bana...mi huko Slipway hata sijawahi kufika....sasa nani aliyeniona huko jamani?

Hahahaaaaa boy I tell ya!

But hey do your thing man...if you want it smash it. It ain't mine.
 
Mkuu please usiniue kabala sija muasili la aziz wako Valentina ili nikifa abaki kuwa mjane wangu...namwasili tu wala usimwache!
Kuasili na ujane wapi na wapi?

Futa ujinga kwanza ujue kuasili ni nini kabla ya kuparamia watu tushagharamia.

Ama sivyo utaparamiwa wewe.
 
Kuasili na ujane wapi na wapi?

Futa ujinga kwanza ujue kuasili ni nini kabla ya kuparamia watu tushagharamia.

Ama sivyo utaparamiwa wewe.

Umesema una mpango wa kunipiga manati ya mzungu...sijabisha..ila nasema nitamuasili mkeo awe mke wangu wa kuasili...ili ukiniua yeye abaki mjane wangu kwa kuwa nitakuwa nipo mbinguni tayari mume mwenzangu...huu mcheezo hautaki hasira!
 
Hakuna kitu kama "mke wa kuasili".

Rudi shule kwanza ufute tobgotongo kabla ya kutamani wanawake wa watu.

Unaweza kutamani mpaka majini kwa kuzidiwa tongotongo.
 
Hakuna kitu kama "mke wa kuasili".

Rudi shule kwanza ufute tobgotongo kabla ya kutamani wanawake wa watu.

Unaweza kutamani mpaka majini kwa kuzidiwa tongotongo.

So mazee huyo mdada ndo mwanamke wako siku hizi?

Teh teh teh teh.

Hongera sana kwa kujipatia bonge moja la 'beauty queen' ambalo kila mtu analimezea mateπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›.
 
Hakuna kitu kama "mke wa kuasili".

Rudi shule kwanza ufute tobgotongo kabla ya kutamani wanawake wa watu.

Unaweza kutamani mpaka majini kwa kuzidiwa tongotongo.

Sijaamini kama ni wewe unatokwa na povu jingi kiasi hiki...unaweza kurudia mtiririko wote tokea tulivyoanza hadi umekuja kudandia mazungumzo kwa mbele kisha uone kama nawe hutumii 'akili za kuasili'...kama unajua kupenda sana uwe unamhifadhi mkeo BOT ili asi interact na watu wengine, na uwe unamlipia kodi!
 
Haya mambo ya kuasili mtoto ni wito si wote tuliobarikiwa, lakini kwa Watanzania wenye moyo wa kuasili mtoto/watoto kuna kitu kimoja bado sikielewi kutoka kwao.

Ukimsoma vizuri mleta mada lengo lake ni kumuwezesha mtoto kupata malezi bora na yanayostahili, lakini papo hapo iwapo utajipa muda wa kumchunguza ukoo wao wapo watoto wa ndugu wanaostahili kabisa huruma yake na wazazi husika watakushukuru kwa kuwatuwa mzigo.

Hi ni free world kila mtu ana haki ya kufanya kila anachojisiki lakini hii charity ni kwa nini isianzie makwetu kwa sababu ndani ya familia zetu kuna wahitaji?
 
Kaka lazima uelewe....huyo mchuchu ni bonge moja la totoz na ndo maana unaona jamaa anatokwa povu na yuko tayari kukurestisha in paradise.

Hata wewe angekuwa wako huyo lazima ungeona wivu tu. Mtoto hata kipele hana. Nefertiti mwenyewe haoni ndani.

Sasa kwa nini mshikaji asitokwe povu wakati anaona 'mali' zake zinasarandiwa?

Teh teh teh kaaaazi kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…