Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 637
nyuki wanatafuta pango waweze kutengeza asali! 😛oa😛oa😛oa
tehetehe!hapo sasa ukute anapanda vidaladala zetu za bongo,mmejazana,then anakuja simama karibu yako wakati we ndo umekaa!kitu level ya pua,then anakugeuzia masaburi kwako!utamwambiaje kama ndo wewe??tehetehe,mimi taratibu ningeshuka
nahiosi kameroon mtupu mitaa hii kwa heri
nini kimekuchefua hapo sasa hao si nzi tuuuuuuuu...!Nisha chefuka mwenzenu
basi tu, mi nina roho ya kinyaa sana. Hapo nimepata na harufu tayari!nini kimekuchefua hapo sasa hao si nzi tuuuuuuuu...!