Upotoshaji umeanza zaman sanaHahahaha Magufuli ni kiboko yani ukirusha nchale yeye ana rusha bomu kabisa ....acheki na kima...Mmezoea mpotoshe watu.wanyamaze
Safi sana JPM..
Naibu Waziri wa fedha ameshaidadavua hiyo 1.5t
Tumeona namna serikali inavyo pambana kujibu hoja za CAG zilizoweza kuchambuliwa kwa ufasaha na mbunge wa Kigoma kaskazini ZZK! Rais wetu JPM amejingengea heshima ndani na nje ya nchi kwa vita dhidi ya rushwa na ufisadi, kauli ya jana ya rais kujaribu kujibu juu ya tuhuma za rushwa za serikali yake zimeanza kuondoa na kutia mashaka juu ya heshima aliyoijenga juu ya vita ya ufisadi,tumeona kwa muda mrefu rais akihubir elimu ya uzalendo kwa watz, je kwa yanayo endelea anaweza kuwa na moral authority ya kuendelea kukemea rushwa? Hili ni doa kwa serikali iwe kuna wizi ama la, lkn bado serikali haijaweza kuja na kauli kamilifu inayoweza kujibu maswali na shauku ya watz juu ya 1.5trillion! Siyo rais, polepole, kafulila ama naibu wazir wa fedha au yeyote aliyeweza kuja majibu timilifu kujibu hoja za CAG...
Mamlaka zinazohusikia huenda zikaja na majawabu kuliko personal attacks

Hoja hujibiwa na vielelezo sio kuulizia vitu vya kijinga kawaida hoja za CAG huwa hazifutiki bila vielelezo kuwekwa mezani mfano mzuri kivuko kibovu mpaka leo hoja yake ipo. Fahamu fika fedha hizi lazima zirudiHahahaha Magufuli ni kiboko yani ukirusha nchale yeye ana rusha bomu kabisa ....acheki na kima...Mmezoea mpotoshe watu.wanyamaze
Safi sana JPM..
Mkuu kama tamko la naibu waziri kuhusiana na mchanganuo wa hizo fedha hautoshi, na kama kauli ya CAG mbele ya rais haitoshi pia, basi mtakuwa na matatizo makubwa ya akili. Itabidi mafaili yenu yatolewe pale mirembe ili mtafutiwe madaktari wa kiwango cha juu nje ya nchi.Wa
wasikuma bahnaa mtaacha historia ya ajabu nchi hii 1.5 trillion lazima zipewe majibu sio ujinga ujinga tuuu
Kaiba Obama na familia yake sembuse hawa marais wa afrika.mkuu mara nyingi watu wanatumia utaalamu kuiba. usiwaamini sana.
Mora ndio nani?Kama mnavyojua prof CAG ni muumini safi wa dini ya kiislamu ,Leo pale ikulu ameamua kutudanganya watazania zaidi ya million 50,ili/tu kumtetea mtu Mmoja sizonje..!kwa aina ya mavazi aliyokuwa amevaa ni dhahiri baada ya kikao cha pale ikulu(kuapisha) alikua anaenda kuswali swala ya ijumaa,
ninauhakika Leo Mora hakupokea maombi yako na unatakiwa kutubu dhambi ya uongo na unafiki!!
Asante!!
Post [HASHTAG]#520[/HASHTAG] amekusaidiaKama mnavyojua prof CAG ni muumini safi wa dini ya kiislamu ,Leo pale ikulu ameamua kutudanganya watazania zaidi ya million 50,ili/tu kumtetea mtu Mmoja sizonje..!kwa aina ya mavazi aliyokuwa amevaa ni dhahiri baada ya kikao cha pale ikulu(kuapisha) alikua anaenda kuswali swala ya ijumaa,
ninauhakika Leo Mora hakupokea maombi yako na unatakiwa kutubu dhambi ya uongo na unafiki!!
Asante!!
Wameshazipiga unategemea wangesemaje?? Kwanza tu kile kigugumizi cha ghafla ni dalili kuwa walishaibaDotto acha zako sisi hatuoni zilpo wananchi hatuna kabsaaa aiseeeeee
Hizi kauli hz cjui ztaisha lini aiseeeeee
Punguza umburura we binti.Ndugu au mtaalamu acheni ubazazi
Report ya CAG ilipoibua taarifa juu ya upotevu wa 1.5trillion watu wengi walizungumza sana, makundi mbali mbali ya kijamii vikiwemo vyama vya siasa, uchangiaji wa watu kwenye mitandao ya kijamii ulimfanya Rais wetu azungumzie hili kwa mara ya kwanza ikulu wakati sherehe za kuapishwa majaji walionteuliwa, ambapo rais alianza kwa kuwauliza baadhi ya watendaji wake alio wateua, mmoja wa aliyeulizwa swali ni Dotto James katibu mkuu wizara ya fedha ambaye kwa taarifa za awali inasemekana ana undugu na ukaribu na rais wetu, katika majibu yake alisema nanukuu” Mh Rais hazina tuko salama” ukijaribu kutafakari kwa kina utagundua kuwa maswali na majibu ya viongozi ilikua kuzima hoja ambazo hata watz walishaanza kuzihoji, lkn kitaaluma hoja ya CAG kuhusu upotevu wa 1.5tr haijaweza kujibiwa na yeyote, kauli ya kuwa hazina kuko salama ni kauli ya kutia mashaka na yenye maswali mengi, inaonekana katika shughuli ile ya kuapishwa majaji CAG aliliakwa makusudi na katibu mkuu hazina ili kupata platform ya kujibu hoja ambayo ilishaielemea serikali!
Kwa wenye uelewa wa auditing ni kwamba CAG katika ripoti yake hakuna sehemu ambayo alisema kwamba 1.5 trilioni zimeibwa.Hakuna kabisa.Yeye alichokisema ni kwamba ameshindwa kupata nyaraka za kutosha kuonesha ama zinazoendana na matumizi ya Tsh 1.5 trilion.Kazi ya audit sio kumtaja mwizi ila ni kuionesha management kuwa mahala fulani kuna kiuashiria cha matumizi mabovu ndio maana Audit ya sasa iko so risk based.Kwa maana hiyo sasa kwenye kuwaapisha majaji MNIKULU akaumuuliza CAG je kuna fedha ya serikali iliyoibwa? CAG akajibu according to IAS kwamba hakuna fedha iliyoibwa.In details ni kwamba 1.5 TRIL ilitumika ndivyo sivyo na sio kazi ya CAG ku detect theft. over
Kim John UN
dar es salaam