Mkuu naona umenisaidia sana, unaweza kunipa bei ya hivyo vi2 kama studio equips,transmitter na mnara with antenna.Nenda TCRA kuna application form zinauzwa au zidownload kwenye website yao then tafuta telecom Consultator akujazie ukizirudisha pamoja na attached doc za company yako ndo utazilipia around usd 300 hivi.wakikuaward masafa utalipia annual fee.
kwa vifaa unahitaji studio equips,transmitter na mnara with antenna. kama studio na transmitter vipo tofauti utahitaji pia link yastudio to transmitter...usisahau standby generator coz kwa umeme wetu huu wa tanesco radio yako yaweza kuwa off air muda mwingi!!
Kuhusu mnara might be cheaper ukikodi na kushare na watu kama TTCL sababu kuna miji sasa hawataki kila mtu kuwa na mnara wake ni uchafuzi wa mjiMkuu naona umenisaidia sana, unaweza kunipa bei ya hivyo vi2 kama studio equips,transmitter na mnara with antenna.
transmitter ya 500W to 1KW inarange between 8,000 to 10,000 USD na studio equipments inategemea umedesign vipi studio yako na ya kuweza kutumika na watu wangapi kwa wakati mmoja, vitu kama desk mic, headphones,mixer,amplifier,computer na studio software,recorder,dvd/vcd player etc vinatakiwa na bei inategemea make,quality na capacity.furnitures na sound proof material kwa studio.Mkuu naona umenisaidia sana, unaweza kunipa bei ya hivyo vi2 kama studio equips,transmitter na mnara with antenna.
Hautapewa kibali thats for sure..... unless utangaze wanayotaka wao au... ukipewa ukiwa tishio kwao utafungiwa.... the easiest thing ni kuanzia online radio labda watu wakusikilize through their phones
transmitter ya 500W to 1KW inarange between 8,000 to 10,000 USD na studio equipments inategemea umedesign vipi studio yako na ya kuweza kutumika na watu wangapi kwa wakati mmoja, vitu kama desk mic, headphones,mixer,amplifier,computer na studio software,recorder,dvd/vcd player etc vinatakiwa na bei inategemea make,quality na capacity.furnitures na sound proof material kwa studio.
Antenn Mast nayo ni shuguli nyingine pevu,zipo za aina tofauti na bei kulingana na urefu wake na sifa nyingine kama kuhimili upepo na kustahimili kutu etc
Mkuu umeelezea kitu hapo ni kigeni kidogo, online radio through my fone hebu nipe huo utaaramu.
Mkuu ukiwa na hivi vitu unaweza kurusha signal kwa umbali gani?
Unajua umbali wa FM transmission unategemeana na mazingira yakijuografia ya eneo unalorusha matangazo...milima na mabonde hususani huathiri.pia majengo mengi marefu ni kikwazo.ila at least radius ya km 30 bila mikwaruzo
Mkuu umeelezea kitu hapo ni kigeni kidogo, online radio through my fone hebu nipe huo utaaramu.
Mtu yeyote anaweza kuanzisha online radio actually its very cheap you only need a pc na some few softwares na mtu wa ku host information zako, TCRA hawana mamlaka sababu hii itakuwa watu wanapata through the internet. Kuna iformation nyingi sana kwenye mtandao nime google mojawapo nimepata ni hiiVery informative tips. Je, kuanzisha online radio unalazimika kupata/kunua vibali kutoka tcra??
Hiyo mkuu I think inalipa sana tuuu, na for Tanzania will be interesting mazee, lakini je hii si inakuwa na kila kitu sawa na radio ya kawaida tu maana all the equipments are needed even plus online internet radio...poa all the best mazee
Nenda TCRA kuna application form zinauzwa au zidownload kwenye website yao then tafuta telecom Consultator akujazie ukizirudisha pamoja na attached doc za company yako ndo utazilipia around usd 300 hivi.wakikuaward masafa utalipia annual fee.
kwa vifaa unahitaji studio equips,transmitter na mnara with antenna. kama studio na transmitter vipo tofauti utahitaji pia link yastudio to transmitter...usisahau standby generator coz kwa umeme wetu huu wa tanesco radio yako yaweza kuwa off air muda mwingi!!