Wanayo haki na habari wanapata. ila sidhani kila mtu atapata habari anayotaka kupata kutoka chombo kimpja tu cha habari. Ni muhimu kuangalia vyombo mbali mbali ili kupata mkusanyiko wa habari unazotaka. Vingnevyo vituo vitakuwa na taarifa za habari ndefu kamaa masaa matatu hivi...Lkn wananchi wanahaki ya kupata habari
CHADEMA na MENGI mmechokozwa, mmpumlie , ila alichokisema kina ukweli fulani.
Nimesha watumia emai kupitia infor@itv.co.tz na nimeona tuwambie ukweli ili wabadilike na watende haki!
Wana wabagua ACT hadi wana tia aibu kabisa halafu wanataka kutudanganya kuwa wana tenda haki kwa habari zote wakati tuna ona hawatendi haki kabisa!
ITV mnatakiwa kujua hii ndio jf huwa hatukwepeshi kuwapa hamsini zao watu wanapo potoka sasa pokeeni hizi shilingi zenu na mbadilike tuna hitaji kuone mkitenda haki kwa kutoa habari kwa usawa sio mna hubiri tuu haki halafu haki haionekani ikitendeka!
ITV tunaomba mjirekebishe haraka iwezekanavyo!
ITV wamerusha habari gani ukitoa hizo nilizo zisema?
Mimi ninacho ipendea jf halelewi mtu hapa kila mtu akileta ujinga anapewa hamsini zake na hizi ziwafikie ITV na wajirekebishe lasivyo watafunga biashara kwa kukosa watazamaji...
niliambiwa mtoa mada una mtindio wa ubongo nikabisha. sasa ndo naamin
WEWE kweli kobe...unailalamikia ITV kwani unaiendesha kwa pesa yako?
Kailalamikie TBC ambayo inaendeshwa kwa kodi yako
Mbona CHADEMA haioneshwi TBC ilihali ni haki yao lakini hawalalamiki........
Kuanzia leo sitatazama ITV, nimegundua tv hii ni ya kikanda, mikutano ya ACT-Wazalendo haionekani katika taarifa zao za habari.
Tulikuwa na mkutano Kibaha na Mwembe yanga, lkn mikutano hii haijaonekana katika taarifa zake za habari.
Si hivyo tu, tulikuwa na mikutano mikubwa Mbeya, Tabora, Kigoma, na Shinyanga, huenda huko kulikuwa mbali lakini hata wa Mailimoja Kibaha? Yaan hata hapa MwembeYanga?
Hichi chombo sio huru na kiko kwa mlengo mbaya, mlengo wa kutugawa watanzania. Ni ajabu mmliki wa chombo hichi kupigania uhuru wa habari ikiwa yeye mwenyewe hatoi uhuru kwa wanahabari wanaofanya katika vyombo vyake.
Njano5.
762845394
784845394
Mkuu umesahau kuwa kutoitazama TBC ilikuwa ni moja ya maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA iliyokaa chini ya uenyekiti wa MBOWE?
je mliwa taarifu mtakuwa na mkutano au mlikuruouka kama chafya tu