Kuanzia sasa sitatazama ITV

Dotto C. Rangimoto

katazame tbc yenu! laana ya USALTI itawatafuna taratibu,kaaa kulialia na itv,mwisho wenu ni baada ya ELECTION october hakutakuwa na AGIZO LA CHAMA TAWALA (ACT) tena katika ardhi hii ya TANGANYIKA!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha mbona munatuandama sana act yetu ya waha wa kasulu bado ipo sawa.
 
Badala ya kulalamika mwambieni Zitto amkumbushe Sultan kuhusu ahadi ya meli mpya ziwa Tanganyika tutatangaza,au mmeridhika na mv liemba!


Mpaka iwaue ndio watastuka na kukumbuka ahadi ya Sultani wako.
 
ACT ni kitu gani kwani. sasa hiyo ITV ulichangia shilingi ngapi kuianzisha na kuiendesha? wewe ulizia TBC sio TV ya mtu

Huyo mangi ajiandae kisaikolojia baba azam anakuja
 
Dotto C. Rangimoto

mkuu wangeonyesha ile ya tunduma wakati zito anazomewa ingekuweje?,jaribu TBC
 
Last edited by a moderator:
Huyo mangi ajiandae kisaikolojia baba azam anakuja


Pamoja na mabilion yote mliyotumia kwa huyo azam tv ,wananchi ndio wataamua ni nani anaonesha habari za kwel
 
Mkuu hujui kama hile bifu bado halijaisha mkuu
 
huyu jamaa haeleweki,mbona hata Tv nyingine hazionyeshi hujalalamika.
 
Kwa habari ile ya majina yasiyoeleweka ya wahindi na MTU alishahapa kiapo kusema hana jina wala account tena mbele ya kamati na mwanasheria mkuu ulitaka wawatangazie habari za unafiki watanzania kuwa zito katoa majina ya uswiss alioapa kwa kiapo na kusema hana ITV ni superbrand lazima watangaze habari za uwakika na sio za unafiki na uongo
 
Jamaa wana wabagua sana ACT......! Huu ni ukweli na wanatakiwa wabadilike na nitawatumia email kuwauliza kwanini hawaoneshi habari za ACT?
 
yale mliokuwa mnayalalamikia tbc, sasa mnayatetea huku. Bavicha watu wa ovyo kabisa.

teh teh bavicha ndivyo walivyo siku habari zao zisipo oneshwa lazima wageuke!
 
Yale mliokuwa mnayalalamikia TBC, Sasa mnayatetea huku. Bavicha watu wa ovyo kabisa.

Kwani tulilalamika kuhusu nini mkuu,na nyie mnalalamika kuhusu nini? teh teh teh teh
 
Mlivyoenda kumfitinisha kwa Kikwete eti anahujumu serikali yake mlitegemea nini!

Nani alimfitinisha .?juzi alikwenda ikulu kufanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…