Kuanzia sasa sitatazama ITV

acha uchochozi wako kama huangalii ITV si wewe? ukisusa sisi twala acha sisi tule kama wewe umesusa si kimpango wako? mbona unatutangazia sasa? sasa unataka tuangalie tv gani? KILA MTU ANAMAPENDEKEZO YAKE YA KUCHAGUA KITU ANACHOKIPENDA.. NDO MAANA ITV NI SUPERBRAND
 

naomba mm niwe muwazi kuwa mimi siyo mwanachama wa chama chochite cha siasa, lakini penye ukweli lazima tuseme ukweli, kwa mtu yoyote mwenye akili timamu na mpenda ukweli ni kweli taarifa nyingi za vyombo vyetu vya habari ziko bias sana tena sana na ndiyo maana mara nyingi mimi natapa habari kwa vyombo vya kimataifa japo na vyenyewe haviko huru, ITV wako bias sana mfano habari za mengi zinaweza kukaa zaidi ya nusu saa hata kama hazina tija ya kukaa mda wote huo, habari za kilimanjaro zinapewa nafasi kubwa sana kuliko mikoa yoyote ile, wafanya kazi wengi wametoka moshi hata kama hawana sifa za uandishi watapewa tu. TBC hawa ndio hovyo hovyo hovyo kabisa wanataka watanzania tuamini kila linalofanywa na CCM liko correct, wana report issue za ccm tu, na kuipamba ccm kwa hali na mali. CLOUDS hawa ni zero, STAR TV 0, CHANNEL TEN 0.
 

ACT ndiyo mdudu gani tena?,aah!nimekumbuka ni wale waliompokea MWEPESI.
 

ACT ndo mdudu gani?,aaah!nimekumbuka ndiyo wale jamaa Waliompokea MWEPESI,yule msaliti km Yuda Iskariote.
 
Huyo mangi ajiandae kisaikolojia baba azam anakuja

Ule ufala huu hapa, ving`amuzi vyote bongo superbrand ipo, we leo unaongelea azam? Asilimia kubwa ya wananchi wana amini itv kutokana na ubora wake habari, awajui animation wala graphics, bado hatujafika huko kwetu sisi ni habari na mada zinazotugusa sisi wananchi na itv ndo wanachotupa, uzuri wa mkeka si mazuri ya umbea,
 
Mbona wadogo wenzenu chausta na adc hawalalamiki! Tatizo lenu na nyie mnajiona wakubwa kama cdm, cuf na ccm wakati hamko hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…