Mnyiramba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,112
- 2,957
Njoo tushirikishane uzoefu kuhusu vizinga vya wanawake wa hapa na pale. Kwa upande wangu kuanzia mwezi wa kwanza hadi sasa mwezi wa kumi vizinga tu nilivyopangua ni zaidi ya milioni 2 na bado hapo December haijafika! Hapo ndiyo inaonyesha ni kwa namna gani ukiendekeza wanawake utazidi kujitumbukiza kwenye giza tororo la umaskini!
Kesi tu za baby simu yangu imeibiwa, imeingia maji, imekufa kioo, zinafika 5 kwa wanawake tofauti tofauti. Kesi za kufiwa nyingi zaidi, kesi za kuumwa, umeme kuisha, ada ya chuo, hizi sherehe za kuzaliwa, miadi ya hovyo, pesa za lodge, likizo za kipumbavu!
Kijana wa kiume usipoamka utaumia sana, utajuta sana uzeeni! Wakuu tuendelee tu kupeana mbinu za vizinga maana huwa zipo kasi kama magoli ya Haaland!