Kuanzia January hadi sasa October mapenzi yamekugharimu nini?

Miezi yote nine enjoy tangu January to October nadhan Bado ntaendelea kuenjoy kijana anajua kugharamia
 
iPhone X
Ada nusu (550,000)
Kodi miezi 3 (450,000)
Dressing Table (350,000)
Nauli ndege mara 2 (280,000 x2)
Mshahara/allowance kila week 50k
Emergency za kusuka vocha dinner
Naumwa nn sijui fakes kibao

Qqmmmkk sahivi am single singeli kuanzia Mwezi wa 9..

Wanawake wanawake wanawake

Haya bwana..
Ukipiga hapo Ni sh. Ngapi umewahi mtumia bi. Mkubwa,madogo utasema tu Hiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
iPhone X
Ada nusu (550,000)
Kodi miezi 3 (450,000)
Dressing Table (350,000)
Nauli ndege mara 2 (280,000 x2)
Mshahara/allowance kila week 50k
Emergency za kusuka vocha dinner
Naumwa nn sijui fakes kibao

Qqmmmkk sahivi am single singeli kuanzia Mwezi wa 9..

Wanawake wanawake wanawake

Haya bwana..
Duh
Madaktari wanasema hivyo.
Uchafu unapita lwenye kile kitundu. Wanaume wengi wanaopata UTI ni wafukuaji mitaro.
Hapana,UTI huambukizwa kwa njia ya sexual ya kawaida tu na mtu ambaye tayr ana UTI bila kutumia kinga.
 
Back
Top Bottom