Kuanzia January hadi sasa October mapenzi yamekugharimu nini?

mwaka huu yamenigharimu sana !Dem nilnnunulia kila kitu cha ndani ,baadae akahamia sehemu nyingne bila kuniambia nikaachana nae mwingne niligharamia nauli alikuw anasoma chuo mwanza kuja songea na akaibiwa simu yake stend nikamnunulia akaja songea akawa anatoka na dereva bajaji nikamtema.

Pole sana mkuu hiyo pesa ungenunulia hata kiwanja usingejutia
 
iPhone X
Ada nusu (550,000)
Kodi miezi 3 (450,000)
Dressing Table (350,000)
Nauli ndege mara 2 (280,000 x2)
Mshahara/allowance kila week 50k
Emergency za kusuka vocha dinner
Naumwa nn sijui fakes kibao

Qqmmmkk sahivi am single singeli kuanzia Mwezi wa 9..

Wanawake wanawake wanawake

Haya bwana..
 
Back
Top Bottom